Mb Dog aimwagia sifa video yake ya ‘Mbona Umenuna’
Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amesifia video ya wimbo wake mpya ya Mbona Umenuna akisema imeandaliwa kwa kiwango cha juu na kudhihirisha ubora wake.
Mb Dog
Akizungumza leo asubuhi jijini Dar es Salaam, Mb Dog alisema mashabiki wote watakaopata bahati ya kuitazama video hiyo iliyotengenezwa na Abby Kazi, ataamini makali yake.
Alisema lengo lake ni kuwapatia mashabiki burudani kamili, hivyo wadau wote wapate muda wa kuitazama video...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL21 May
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-USvQTFxwvaA/Uvc8UruoiUI/AAAAAAAAHnA/m2Sf2-QWeE4/s72-c/MB+DOGG.jpg)
Mb Dogg kusambaza ‘Baby Mbona Umenuna’?
![](http://1.bp.blogspot.com/-USvQTFxwvaA/Uvc8UruoiUI/AAAAAAAAHnA/m2Sf2-QWeE4/s1600/MB+DOGG.jpg)
Wimbo huo umerekodiwa katika Studio za Maccopa, ambapo unatarajiwa kurudisha makali na heshima ya msanii huyo aliyewahi kuwika katika tasnia hiyo.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Kampuni ya...
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Wanyama aimwagia sifa Southampton
LONDON, ENGLAND
KIUNGO wa timu ya Taifa ya Kenya na klabu ya Southampton ya nchini England, Victor Wanyama, ameimwagia sifa klabu yake ya Southampton kwa ushirikiano ambao waliuonesha kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Arsenal ambapo Southampton iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mtandao wa Supersport umeripoti kwamba, Wanyama amekuwa na furaha kubwa baada ya kuisaidia timu yake Southampton kuweza kuibuka na ushindi katika Sikukuu ya ‘Boxing Day’ kwa kuichapa...
10 years ago
Habarileo17 Jun
Cheyo aimwagia sifa bajeti
WAKATI baadhi ya wabunge wakisema hatua ya serikali kutaka kuongeza kodi kwenye mafuta itapanda gharama za maisha na kuongeza ugumu wa maisha kwa Watanzania, Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo (UDP) ameimwagia sifa bajeti na kusema wakati umefika wa kuondokana na serikali ya vibatari na koroboi.
9 years ago
Habarileo29 Oct
Haji Mwinyi aimwagia sifa Ligi Kuu
BEKI wa kushoto wa Yanga, Haji Mwinyi, amesema Ligi Kuu ya Tanzania Bara imezidi kupandisha kiwango chake kutokana na ushindani mkubwa uliopo tofauti na ile ya Zanzibar.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-XVz7lZZ6giM/Xkv7O1KrhqI/AAAAAAALeA4/BT2rSbfkYSoy4NK6IG6lJdqxkP3bwvBOwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200218-WA0041.jpg)
BASHUNGWA AIMWAGIA SIFA KIBAHA MJI KWA UWEKEZAJI
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa ametoa rai kwa mamlaka na taasisi zinazohusika na Viwanda likiwemo Shirika la Viwanda Vidogo nchini SIDO, DIT NA NEMC kuwa karibu na wawekezaji kwa ajili ya ushauri wa kitaalamu na mazingira.
Aliyasema hayo ,wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja katika Halmashauri ya Mji Kibaha ,mkoani Pwani, ambapo pia ameridhishwa kwa namna mji huo unavyotekeleza sera ya uwekezaji wa viwanda kwa vitendo .
![](https://1.bp.blogspot.com/-XVz7lZZ6giM/Xkv7O1KrhqI/AAAAAAALeA4/BT2rSbfkYSoy4NK6IG6lJdqxkP3bwvBOwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200218-WA0041.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k7wmgUzGHBNN7aHDqdQVS9DWO7eQT8pd7hM5u6fGnMIIxZ*ryX7rzIZOLV3Jxz4JLezbXhMIXqC-YTcnOKwm*ST/MAMAWEMA.jpg)
RAY C, MBONA SIFA MUHIMU HAZIMO?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-x0_6y3hRu70/XttCOT1sxII/AAAAAAALsyo/NhjW2NeRVqcM23CXaMZwoopVzfeVbQz9wCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
UKUSANYAJI MAPATO SEKTA YA MADINI WAMKOSHA WAZIRI DOTTO BITEKO, AIMWAGIA SIFA GGML KWA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI KATIKA MKOA WA GEITA
![](https://1.bp.blogspot.com/-x0_6y3hRu70/XttCOT1sxII/AAAAAAALsyo/NhjW2NeRVqcM23CXaMZwoopVzfeVbQz9wCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-pI4hb0lzwYQ/XttCOnY43vI/AAAAAAALsyw/TkP_EXxScisbuj5DfZdqsTIdfMbIVnbUgCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIFtBPvdef1Vnba-oYfwbw5jfIqBWADJ1tp8NS*8Y6OfhzTtN2q9NmPUjBlGZZjn0HZmwK8MoSAbkLj6uUNllnFG/mbdog6.jpg)
MB DOG,FAMILIA YAKE, KABAAH!