Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFFICAL VIDEO: MB DOG - MBONA UMENUNA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mb Dog aimwagia sifa video yake ya ‘Mbona Umenuna’

Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amesifia video ya wimbo wake mpya ya Mbona Umenuna akisema imeandaliwa kwa kiwango cha juu na kudhihirisha ubora wake. Mb Dog  Akizungumza leo asubuhi jijini Dar es Salaam, Mb Dog alisema mashabiki wote watakaopata bahati ya kuitazama video hiyo iliyotengenezwa na Abby Kazi, ataamini makali yake. Alisema lengo lake ni kuwapatia mashabiki burudani kamili, hivyo wadau wote wapate muda wa kuitazama video...

 

11 years ago

Michuzi

Mb Dogg kusambaza ‘Baby Mbona Umenuna’?

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mbwana Mohammed maarufu kama Mb Dogg, yupo kwenye mipango ya kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Baby mbona umenuna?. Mb Dogg pichani, wimbo wake mpya wa 'Baby Mbona Umenuna' utakuwa balaa na unatarajiwa kumuweka tena kileleni.
Wimbo huo umerekodiwa katika Studio za Maccopa, ambapo unatarajiwa kurudisha makali na heshima ya msanii huyo aliyewahi kuwika katika tasnia hiyo.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

9 years ago

Global Publishers

Mb Dog kuitambulisha video mpya Januari Mosi

3MB Dog akitoa vionjo vya wimbo wake mpya wa Siyo Siri kwa waandishi wa habari (hawapo pichani).1Mkurugenzi wa QS Mhonda J Entertainment, Joseph Mhonda akizungumza jambo katika mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya King D iliyopo Sinza-Afrika Sana jiji ni Dar. Kushoto kwake ni Direkta Abby Kazi, kulia ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Q-Chillah.
2Mhonda (kushoto) akimkabidhi Direkta Abby Kazi kitita cha shilingi milioni ishirini kama ada ya kumsajili katika Kampuni ya QS Mhonda J...

 

9 years ago

Bongo5

Aby Kazi ashirikiana na muongozaji wa SA kutengeneza video ya MB Dog na Mzee Yusufu

12338468_200297306973043_2079757849_n

Muongozaji wa video nchini, Aby Kazi ameenda nchini Afrika Kusini ili kutengeneza video mpya mbili za wasanii MB Dog pamoja na Mzee Yusufu huku akishirikiana na kampuni za nchini humo.

12338468_200297306973043_2079757849_n

Muongozaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa nafasi hizo zinaweza kuwaongozea ujuzi katika kazi zao pamoja na connection.

“Video nafanya na kampuni ya Afrika Kusini inaitwa Tutop na tayari tumeshirikiana kufanya video ya Mb Dog na Mzee Yusufu,” amesema.

“Kilichotuleta huku ni equipment na serious mission. Pia...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

GPL

UCHAGUZI HUU MBONA NTAKOMA!

Yaani nimekaa hapa nakumbuka wimbo wa zamani wa NUTA Jazz band, ulikuwa unasema Nimuokoe nani. Mtumbwi unazama, ndani ya mtumbwi yuko jamaa na mkewe na mtoto na baba na mama yake, uwezo wake kumuokoa mtu mmoja sasa amuokoe nani? Na ndiyo yanayonikuta.  Kisa na mkasa ni demokrasia. Shangazi kachukua fomu ya ubunge wa chama kipya hata jina sijalishika na kapitishwa agombee, baba mdogo kapitishwa agombee kwenye chama mafuriko,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbona Wakenya wanamkaribisha Kenyatta 'nyumbani'?

Kwa siku mbili sasa, Wakenya mtandaoni wamekuwa wakiandika jumbe za kumkaribisha Rais Uhuru Kenyatta nchini Kenya wakitumia #UhuruInKenya kana kwamba yeye ni mgeni. Mbona?

 

10 years ago

GPL

KUACHANA MBONA KAWAIDA, ACHA VISASI!

ENHEE Shosti, unaendeleaje na mishemishe za kila siku hapo ulipo? Tunakutana tena leo katika mfululizo wa mazungumzo yetu ya kimahusiano kupitia safu yetu hii murua kabisa ya mahaba. Hapo juu kichwa cha habari kinaeleweka, nimeamua kuandika mada hii kutokana na kupata meseji kutoka kwa msomaji ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini, lakini aliomba ushauri afanyeje kutokana na mwenza wake wa zamani, kujenga uadui na visasi...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB:Mbona Mnanisimanga Kisa Mimi Ni Mnene

Muigizaji na muongozaji wa filamu  Jacob Stephen “JB” akionekana mwenye tabasamu pana na misosi mingi juu ya meza mbele yake, JB aliweka picha hii mtandaoni na kulalamika kuwa watu wemekuwa akimsakama sana kuwa anapenda kula kisa ndiomnana anazidi kuwa bonge. Ikionekana ni utani JB aliandika;

“Hivi jamani mbona mnanionea.kila nikiweka picha ya msosi maneno.haya jana nilikuwa nimeweka picha ya ngisi na mabilinganya na salad. bado mnasema nakula sana.sasa nitakuwa nakunywa maji tu.sili tena...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani