Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB:Mbona Mnanisimanga Kisa Mimi Ni Mnene

Muigizaji na muongozaji wa filamu  Jacob Stephen “JB” akionekana mwenye tabasamu pana na misosi mingi juu ya meza mbele yake, JB aliweka picha hii mtandaoni na kulalamika kuwa watu wemekuwa akimsakama sana kuwa anapenda kula kisa ndiomnana anazidi kuwa bonge. Ikionekana ni utani JB aliandika;

“Hivi jamani mbona mnanionea.kila nikiweka picha ya msosi maneno.haya jana nilikuwa nimeweka picha ya ngisi na mabilinganya na salad. bado mnasema nakula sana.sasa nitakuwa nakunywa maji tu.sili tena...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

JB:Mbona Mnanisimanga Kisa Mimi Mnene

Muigizaji na muongozaji wa filamu  Jacob Stephen “JB” akionekana mwenye tabasamu pana na misosi mingi juu ya meza mbele yake, JB aliweka picha hii mtandaoni na kulalamika kuwa watu wemekuwa akimsakama sana kuwa anapenda kula kisa ndiomnana anazidi kuwa bonge. Ikionekana ni utani JB aliandika;

“Hivi jamani mbona mnanionea.kila nikiweka picha ya msosi maneno.haya jana nilikuwa nimeweka picha ya ngisi na mabilinganya na salad. bado mnasema nakula sana.sasa nitakuwa nakunywa maji tu.sili tena...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

GPL

UCHAGUZI HUU MBONA NTAKOMA!

Yaani nimekaa hapa nakumbuka wimbo wa zamani wa NUTA Jazz band, ulikuwa unasema Nimuokoe nani. Mtumbwi unazama, ndani ya mtumbwi yuko jamaa na mkewe na mtoto na baba na mama yake, uwezo wake kumuokoa mtu mmoja sasa amuokoe nani? Na ndiyo yanayonikuta.  Kisa na mkasa ni demokrasia. Shangazi kachukua fomu ya ubunge wa chama kipya hata jina sijalishika na kapitishwa agombee, baba mdogo kapitishwa agombee kwenye chama mafuriko,...

 

10 years ago

GPL

RAY C, MBONA SIFA MUHIMU HAZIMO?

REHEMA Chalamila ndilo jina lake ingawa mashabiki wengi wa muziki wa kizazi kipya wanamfahamu kama Ray C. Bongo Fleva itakuwa haimtendei haki, kama historia haitamtaja kama mmoja wa wasanii waliotoa mchango mkubwa kwenye aina hii ya muziki ambao sasa, unatamba barani Afrika. Ni miongoni mwa mabinti wa kwanza kwanza kuingia katika ‘game’ na uwezo wake mkubwa katika kucheza, hasa ile staili yake ya kuzungusha kiuno,...

 

11 years ago

Michuzi

Mb Dogg kusambaza ‘Baby Mbona Umenuna’?

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mbwana Mohammed maarufu kama Mb Dogg, yupo kwenye mipango ya kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Baby mbona umenuna?. Mb Dogg pichani, wimbo wake mpya wa 'Baby Mbona Umenuna' utakuwa balaa na unatarajiwa kumuweka tena kileleni.
Wimbo huo umerekodiwa katika Studio za Maccopa, ambapo unatarajiwa kurudisha makali na heshima ya msanii huyo aliyewahi kuwika katika tasnia hiyo.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbona Wakenya wanamkaribisha Kenyatta 'nyumbani'?

Kwa siku mbili sasa, Wakenya mtandaoni wamekuwa wakiandika jumbe za kumkaribisha Rais Uhuru Kenyatta nchini Kenya wakitumia #UhuruInKenya kana kwamba yeye ni mgeni. Mbona?

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

KUACHANA MBONA KAWAIDA, ACHA VISASI!

ENHEE Shosti, unaendeleaje na mishemishe za kila siku hapo ulipo? Tunakutana tena leo katika mfululizo wa mazungumzo yetu ya kimahusiano kupitia safu yetu hii murua kabisa ya mahaba. Hapo juu kichwa cha habari kinaeleweka, nimeamua kuandika mada hii kutokana na kupata meseji kutoka kwa msomaji ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini, lakini aliomba ushauri afanyeje kutokana na mwenza wake wa zamani, kujenga uadui na visasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani