UCHAGUZI HUU MBONA NTAKOMA!
![](http://api.ning.com:80/files/v4ZZJy3ZUOdf6AuNAF*Vv0Gx4p*ZPZ9yoo7srMNYd7e5-W3ye-qPh-KMgTLMG2SqGtt2ZAvXf4AbC4PlMFZya5ecIsfC*MEd/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
Yaani nimekaa hapa nakumbuka wimbo wa zamani wa NUTA Jazz band, ulikuwa unasema Nimuokoe nani. Mtumbwi unazama, ndani ya mtumbwi yuko jamaa na mkewe na mtoto na baba na mama yake, uwezo wake kumuokoa mtu mmoja sasa amuokoe nani? Na ndiyo yanayonikuta. Kisa na mkasa ni demokrasia. Shangazi kachukua fomu ya ubunge wa chama kipya hata jina sijalishika na kapitishwa agombee, baba mdogo kapitishwa agombee kwenye chama mafuriko,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7Lt90AnTkqZu93yJwmTB21GnVxDhS03fQJjIMeSLvJOFuayMWlzt*2*zHN-K7UeamF1SEoobrsg2qDMslUf0oZxc/BACK.jpg)
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2014 MBONA MAJANGA
10 years ago
Michuzi16 Feb
9 years ago
Michuzi19 Aug
KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]
The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Mambo 10 ya kushangaza uchaguzi huu
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Bashe: Uchaguzi huu ni mgumu
Na Odace Rwimo, Nzega
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa, Hussein Bashe, amewaambia wanachama wenzake kukaza buti kwani uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu.
Bashe alisema hayo wakati akizungumza na wanachama wenzake pamoja na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho wilayani Nzega.
Alisema wanaCCM wanatakiwa kutambua kuwa uchaguzi wa mwaka 1995,2000,2005,2010 na huu wa 2015 kuna tofauti kubwa, hivyo wanatakiwa
kujipanga.
Bashe aliyepitishwa na CCM kuwania...
9 years ago
GPL20 Aug
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Changamoto mpya za uchaguzi mwaka huu
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Mataifa 3 ya Afrika yana uchaguzi mwezi huu