Mambo 10 ya kushangaza uchaguzi huu
Wakati tukijiandaa kuchagua viongozi wetu kesho, matukio kadhaa yaliyojitokeza katika kipindi cha kampeni za uchaguzi huu yalishangaza wengi na huenda ndiyo mambo yatakayobaki katika kumbukumbu, hata baada ya Uchaguzi Mkuu kupita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi16 Feb
9 years ago
Michuzi19 Aug
KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]
The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Hamjui yapo ya kushangaza Bongo kuliko ndege iliyopotea?
BADO mwaniambia niache kujitoa? Wacha tu niseme Bongo kuna mambo mengi yanayoshangaza na ukiyashangaa yote nakuapia midomo lazima itaachama kwa mshangao. Ninyi si mnaona kila kitu ni shwari eh? Endeleeni...
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Uchaguzi wa Zambia:Mambo ya kufahamu
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Bashe: Uchaguzi huu ni mgumu
Na Odace Rwimo, Nzega
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa, Hussein Bashe, amewaambia wanachama wenzake kukaza buti kwani uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu.
Bashe alisema hayo wakati akizungumza na wanachama wenzake pamoja na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho wilayani Nzega.
Alisema wanaCCM wanatakiwa kutambua kuwa uchaguzi wa mwaka 1995,2000,2005,2010 na huu wa 2015 kuna tofauti kubwa, hivyo wanatakiwa
kujipanga.
Bashe aliyepitishwa na CCM kuwania...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4ZZJy3ZUOdf6AuNAF*Vv0Gx4p*ZPZ9yoo7srMNYd7e5-W3ye-qPh-KMgTLMG2SqGtt2ZAvXf4AbC4PlMFZya5ecIsfC*MEd/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
UCHAGUZI HUU MBONA NTAKOMA!
9 years ago
Mwananchi11 Nov
‘Mambo 10 niliyoshuhudia katika uchaguzi Longido’