Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mataifa 3 ya Afrika yana uchaguzi mwezi huu

Je unajua kuwa kuna mataifa matatu ya Afrika yanayojiandaa kwa #uchaguzi2015 mkuu mwezi huu wa Oktoba ?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]

The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

ZOEZI LA UTOAJI KADI LA ENDELEA CCM NEW YORK KUELEKEA KWENYE UCHAGUZI TAREHE 11 MWEZI HUU

Shaban Mseba na Seif Akida wakimkabizi kadi ya CCM Dr Temba na kushoto  kwa Dr ni Ebra akishuudia utoaji kadi huo uliofanyika Brooklyn  NY. Tawi la CCM New York liko mbioni kufanya uchaguzi wa viongozi mwezi huu tarehe 11. Uchaguzi huo utafanyika 30 Overhill Rd, Mt Vernon.NY. Chukua kadi yako mapema hili uwe na haki ya kupiga kura siku hiyo kumchagua kiongozi wako. Desdery na Dr Temba wakionyesha kadi zao za CCM

 

9 years ago

Bongo5

Wizkid kutumbuiza Dar mwezi huu

Msanii wa Nigeria, Wizkid anatarajia kuja Tanzania kwa mara ya kwanza kutoa burudani October 31 kwenye tamasha la ‘Wizkid in Dar.’ Msanii huyo wa Ojuelegba, analetwa na kampuni ya King Solomon Entertainment ikishirikiana na East Africa Radio. #HABARI Msanii mkali toka Nigeria WIZKID @wizkidayo anatarajiwa kuwasha moto ndani ya jiji la Dar oktoba 31 pic.twitter.com/8Rq5KRoO31 […]

 

11 years ago

GPL

MASTAA TUJIRUDI, HUU NI MWEZI MTUKUFU

WAUMINI wa dini ya Kiislamu kote duniani, hivi sasa wapo katika mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambao hutokea kila mwaka, kuelekea Sikukuu ya Idd el Fitr. Ni siku zipatazo 30 ambazo Waislamu wanatakiwa kuacha kutenda dhambi, sambamba na kufunga kula chakula nyakati za mchana. Ingawa siku zote za maisha yetu hapa duniani tunatakiwa kuacha kutenda dhambi, kufanya mambo ya kumpendeza Mungu na kuwa watu wema, lakini mwezi huu...

 

9 years ago

GPL

NAKUSOGEZEA 3 ZA TUNDA MAN MWEZI HUU

Staa wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ STAA wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ anatarajia kuachia ngoma zake tatu kwa mpigo alizowashirikisha mastaa wakubwa ndani na nje ya nchi mwezi. Tunda aliitonya Global Showbiz kuwa ngoma hizo ni Jiachie aliyomshirikisha Diamond Platnumz, Debe Tupu aliyomshirikisha msanii mkubwa nchini Nigeria (Jina linahifadhiwa) pamoja na Mama Kijacho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stupid Father kukamilishwa mwezi huu

FILAMU mpya iliyochezwa na aliyekuwa mwongozaji na mwigizaji wa sinema za Bongo, Adam Kuambiana, iitwayo ‘Stupid Father’ ipo mbioni kukamilika na kuingizwa sokoni mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza jijini Dar...

 

10 years ago

Habarileo

Maabara ya ebola, dengue kukamilika mwezi huu

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven KebweTANZANIA inazidi kupiga hatua katika sekta ya afya, na sasa inatarajia kuachana na usafirishaji wa sampuli za magonjwa ya uambukizi mkali yenye virusi visababishavyo damu kutoka mwilini, ikiwemo ebola na dengue.

 

9 years ago

Habarileo

Ujenzi Reli ya Kati kuanza mwezi huu

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa anasahau haraka na kuanza kunadi miradi ambayo imeshaanza kujengwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI         KAMATI ya uchaguzi DRFA inaelekeza kamati ya uchaguzi ya TEFA kufanya uchaguzi wa viongozi,jumapili tarehe 23/08/2015 katika ukumbi wa JKT kama ilivyopangwa kufanyika hapo awali.Kamati pia inapenda  kuutarifu umma kuwa mchakato huu una Baraka zote kutoka TFF,hivyo uingiliaji wowote unakwenda kinyume na ibara ya 6(1)ya kanuni za uchaguzi za TFF 2013 na ibara za 52(6) na 56(6)(a) za katiba ya TFF ambazo zinaelekeza kuwa majukumu ya uchaguzi yapo chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani