Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MB DOG,FAMILIA YAKE, KABAAH!

Staa wa Bongo Fleva, Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’. BAADA ya kupotea kwa muda, huku wengi wakishindwa kutambua anaishi wapi na nani, hatimaye picha za staa wa Bongo Fleva, Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’ na familia yake zimenaswa! Kutokana na desturi ya staa huyo kukaa ‘mbali’ na kamera husan katika masuala yahusuyo familia, paparazi wetu alimuotea nyumbani kwake Kawe, jijini Dar na kumtandika picha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

MB Dog kuja na documentary ya maisha yake ya muziki

MB Dog amesema anajipanga kuachia documendary itakayokuwa inazungumzia maisha yake ya muziki. Muimbaji huyo aliyewahi kuhit na ngoma kama ‘Latifa’ na ‘Si Uliniambia’ amesema ameamua kuachia documentary hiyo baada ya kuona mashabiki wanahitaji. “Awali kidogo Desso alifanya kama movie yake fulani hivi kwahiyo alifanya kama kunishirikisha ‘bwana njoo unipe support’, sasa kile kitu kikawa kimeniletea […]

 

11 years ago

Michuzi

Mb Dog aimwagia sifa video yake ya ‘Mbona Umenuna’

Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amesifia video ya wimbo wake mpya ya Mbona Umenuna akisema imeandaliwa kwa kiwango cha juu na kudhihirisha ubora wake. Mb Dog  Akizungumza leo asubuhi jijini Dar es Salaam, Mb Dog alisema mashabiki wote watakaopata bahati ya kuitazama video hiyo iliyotengenezwa na Abby Kazi, ataamini makali yake. Alisema lengo lake ni kuwapatia mashabiki burudani kamili, hivyo wadau wote wapate muda wa kuitazama video...

 

9 years ago

Bongo5

MB Dog afiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi Zambia

mbdog

MB Dog amefiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi nchini Zambia.

mbdog

Muimbaji huyo ambaye tayari yupo msibani mkoani Tanga, ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanapanga shughuli za mazishi.

“Huku sio kwema, tuna msiba brother yangu amefariki, alikuwa Zambia, msiba upo Tanga na sasa hivi tupo kwenye taratibu za mazishi,” ameiambia Bongo5.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video...

 

9 years ago

Michuzi

Mshindi wa Jaymillions na mafanikio yake: Ajenga nyumba ya kisasa na kuishi na familia yake goba, kufungua biashara

Mmoja ya washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa inaendeshwa na Vodacom Tanzania iliyomalizika mwezi Aprili mwaka huu Irene Mrema, amesema tangu aibuke na ushindi amepata mafanikio makubwa mojawapo ikiwa ni kuweza kujenga nyumba ya kuishi na familia yake maeneo ya Goba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. “Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunikwamua kimaisha kupitia Jaymillion ya Vodacom kwa kuwa imeleta mafanikio makubwa katika maisha yangu na...

 

10 years ago

Vijimambo

EDAH NA FAMILIA YAKE WASHEREHEKEA VALENTINE


Edah (wapili tokakushoto) akiwa na familia yake kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo Sheraton ya Silver Spring wakijiandaa kuelekea viwanja kula raha ya Valentine Kushoto ni Vincent.Edah na Vincent katika picha ya pamoja.

 

10 years ago

Raia Mwema

Ni kweli Vincent aliuwa familia yake? — 2

MTOTO mwingine, Lyndsey Harper aliyekuwa na umri wa miaka miwili alikutwa amelala upande wa miguu

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Raia Mwema

Ni kweli Vincent aliuwa familia yake? — 3

AKIZUNGUMZIA uhusiano wa Vincent na Joanie, Janea alisema kwamba katika kipindi ambacho Joanie al

Shaban Kaluse

 

9 years ago

Habarileo

Familia ya Leticia kuzungumzia afya yake Ijumaa

FAMILIA ya Leticia Nyerere, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) katika Bunge lililopita, itatoa tamko kuhusu hali ya afya ya mwanasiasa huyo Ijumaa wiki hii, baada ya kupata taarifa ya madaktari wanaomtibu.

 

9 years ago

BBCSwahili

‘Kijana wa saa’ kuhamia Qatar na familia yake

Ahmed Mohamed, aliyehangaishwa baada ya mwalimu wake kudhani saa aliyokuwa amejitengenezea ilikuwa bomu, atahamia Qatar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani