Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Familia ya Leticia kuzungumzia afya yake Ijumaa

FAMILIA ya Leticia Nyerere, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) katika Bunge lililopita, itatoa tamko kuhusu hali ya afya ya mwanasiasa huyo Ijumaa wiki hii, baada ya kupata taarifa ya madaktari wanaomtibu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Familia ya Leticia Nyerere kutoa tamko Ijumaa

leticia nyerereNA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

FAMILIA ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia Nyerere, imesema baada ya kukamilisha majadiliano inatarajia kutoa tamko la kifamilia Januari mosi.

Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam, msemaji wa familia ya Msobi Mageni, John Shibuda, alisema kwa sasa haina cha kuzungumza na kwamba baada ya kukaa ndipo itakuwa na neno la kusema.

Alisema mgonjwa bado yupo hospitali na kwamba familia ndiyo...

 

11 years ago

Habarileo

Membe kuzungumzia adhabu yake leo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema leo atazungumzia hatua ya CCM kumpa onyo kali na kumweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja.

 

9 years ago

Michuzi

Mshindi wa Jaymillions na mafanikio yake: Ajenga nyumba ya kisasa na kuishi na familia yake goba, kufungua biashara

Mmoja ya washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa inaendeshwa na Vodacom Tanzania iliyomalizika mwezi Aprili mwaka huu Irene Mrema, amesema tangu aibuke na ushindi amepata mafanikio makubwa mojawapo ikiwa ni kuweza kujenga nyumba ya kuishi na familia yake maeneo ya Goba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. “Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunikwamua kimaisha kupitia Jaymillion ya Vodacom kwa kuwa imeleta mafanikio makubwa katika maisha yangu na...

 

11 years ago

GPL

MB DOG,FAMILIA YAKE, KABAAH!

Staa wa Bongo Fleva, Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’. BAADA ya kupotea kwa muda, huku wengi wakishindwa kutambua anaishi wapi na nani, hatimaye picha za staa wa Bongo Fleva, Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’ na familia yake zimenaswa! Kutokana na desturi ya staa huyo kukaa ‘mbali’ na kamera husan katika masuala yahusuyo familia, paparazi wetu alimuotea nyumbani kwake Kawe, jijini Dar na kumtandika picha...

 

10 years ago

Vijimambo

EDAH NA FAMILIA YAKE WASHEREHEKEA VALENTINE


Edah (wapili tokakushoto) akiwa na familia yake kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo Sheraton ya Silver Spring wakijiandaa kuelekea viwanja kula raha ya Valentine Kushoto ni Vincent.Edah na Vincent katika picha ya pamoja.

 

10 years ago

Raia Mwema

Ni kweli Vincent aliuwa familia yake? — 3

AKIZUNGUMZIA uhusiano wa Vincent na Joanie, Janea alisema kwamba katika kipindi ambacho Joanie al

Shaban Kaluse

 

10 years ago

Raia Mwema

Ni kweli Vincent aliuwa familia yake? — 2

MTOTO mwingine, Lyndsey Harper aliyekuwa na umri wa miaka miwili alikutwa amelala upande wa miguu

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

BBCSwahili

‘Kijana wa saa’ kuhamia Qatar na familia yake

Ahmed Mohamed, aliyehangaishwa baada ya mwalimu wake kudhani saa aliyokuwa amejitengenezea ilikuwa bomu, atahamia Qatar.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mpiga picha na familia yake wauawa Burundi

Mpiga picha wa runinga ya taifa nchini Burundi, pamoja na familia yake wameuawa katika mji mkuu Bujumbura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani