Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muigizaji Van Vicker wa Ghana aamua kuingia kwenye muziki

Muigizaji wa Ghana, Van Vicker ambaye mwaka jana mwishoni amefanya filamu na staa wa Bongo Wema Sepetu, ameamua kutupa karata yake kwenye muziki. Wema Sepetu na Van Vicker wa Ghana Akizungumza kwenye mahojiano ya hivi karibuni, Vicker ambaye pia ni producer na muongozaji wa filamu amesema kuwa ameamua kujaribu kuingia kwenye muziki kwasababu ameshafanya mengi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Van Vicker, Genevieve, Rita Dominic waomboleza kifo cha muigizaji wa Nollywood, Muna Obiekwe

Waigizaji wa Nollywood na mastaa wengine wa Nigeria wametumia mitandao ya kijamii kuelezea kuhuzunishwa kwao na kifo cha ghafla cha muigizaji maarufu wa Nigeria, Muna Obiekwe. Marehemu Muna Obiekwe Staa huyo alifariki Jumapili, January 18, 2015 kutokana na kushindwa kufanya kazi kwa figo zake. Miongoni mwa waliotuma salamu zao za rambi rambi ni pamoja na […]

 

10 years ago

Mwananchi

Van Vicker:Mtangazaji anayefunika kwenye filamu

Unapozungumzia wacheza filamu mahiri barani Afrika lazima Van Vicker atakuwa miongoni mwa mastaa watakaokuwapo kwenye orodha hiyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker

Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.

Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...

 

9 years ago

Bongo5

Rose Ndauka aamua kuwekeza kwenye muziki

Msanii maarufu wa filamu, Rose Ndauka ameamua kujitosa kwenye muziki kwa kuanzisha kundi la vijana wenye vipaji litakalosimamiwa na kampuni yake ya Rosie. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Rose amesema licha ya vijana hao kutunga wimbo wa kuhamasisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi, kundi hilo linaendelea kufanya kazi za […]

 

10 years ago

Bongo5

Bingwa wa mashindano ya magari ya Formula One Lewis Hamilton kuingia kwenye muziki

Bingwa wa mashindano ya magari ya Formula One, Lewis Hamilton anatarajia kukitambulisha kipaji chake cha muziki. Dereva huyo mwenye umri wa miaka 30 yupo kwenye mazungumzo na Jay Z ili muziki wake usimamiwe na Roc Nation, kwa mujibu wa The Sun. Chanzo kimeliambia The Sun kuwa Lewis yupo kwenye mazungumzo na wasanii wengine pia. Kwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Avril kurekodi wimbo na Christina Shusho? akanusha kuingia kwenye muziki wa injili

Muimbaji mrembo wa nchini Kenya, Avril huenda akarekodi wimbo na muimbaji wa nyimbo za injili, Christina Shusho siku za usoni. Hata hivyo amedai kuwa kurekodi wimbo na msanii huyo wa Tanzania hakumaanishi kuwa anaingia kwenye muziki wa injili. Avril alikutana na Christina Shusho wiki iliyopita kwenye hafla ya Catholic University Dreamz Come True Initiative jijini […]

 

10 years ago

GPL

LULU AMGANDA VAN VICKER

Mwandishi Wetu
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kumganda mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana, Van Vicker, Risasi Jumamosi limenyetishiwa. Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana, Van Vicker. Habari kutoka chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani