Filamu ya Wema Sepetu na Van Vicker ‘Day After Death’ Kuzinduliwa September, Dar
Filamu ya Wema Sepetu na muigizaji wa Ghana, Van Vicker ‘Day After Death’ inatarajiwa kuzinduliwa September mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Wema ameiambia Bongo5 kuwa Van Vicker atakaa kwa wiki mbili zaidi kwaajili ya kufanya filamu nyingi na muigizaji huyo aliyeshinda aliyeibuka na tuzo ya muigizaji wa kike anayependwa kwenye tuzo za watu zilizotolewa Ijumaa iliyopita.
“Tunaplan kuilaunch movie yetu mwezi wa tisa, kaniambia kwamba akija he is going to stay for another two weeks na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM22 Dec
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Van Vicker, Wema Sepetu wakutana
9 years ago
Bongo510 Oct
Martin Kadinda aeleza kwanini filamu ya Van Vicker na Wema inachelewa kutoka
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vTiH9EdcK0A/VNn4HfokBOI/AAAAAAAAenU/moMXVyN_1WQ/s72-c/slim.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Van Vicker:Mtangazaji anayefunika kwenye filamu
9 years ago
GPLVAN VICKER KUMFANYIA SAPRAIZI WEMA
10 years ago
CloudsFM10 Dec
WEMA AFANYA MOVIE NA VAN VICKER
Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu amesafiri kuelekea nchini Ghana kufanya filamu na mkali wa filamu nchini humo,Van Vicker filamu inaitwa Day After Death.Kupitia Instagram Van Vicker aliandika....Watch out for #DayAfterDeath (D.A.D) starring @wemasepetu and myself..#DirectorMode tanzania and ghana goin on the map for this award winning thriller.
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
Baadhi ya picha za D.A.D, Wema na Van Vicker Mzigoni
Hizi ni baadhi ya picha za ndani ya movie mpya ya mwigizaji Wema Sepetu “Madam”akishirikiana na wigizaji wa Ghana, Van Vicker inayoitwa Day After Death (D.A.D).
Madam ametua leo hapa Bongo akitokea nchini Ghana ambako kazi hii imefanyika kule.
Tusubiri mzigo wenyewe!!!.
10 years ago
Bongo Movies18 Dec
Van Vicker Ashangazwa na Habari za Yeye na Wema
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ameshangazwa na vyombo vya habari za udaku za hapa Bongo, kwa kile ambacho kimelipotiwa kuhusu yeye na muigizaji Wema Sepetu.
Kwenye blogs na magazeti mbalimbali ya udaku hapa Bongo zilijaa habari za kuwa Wema na Van Vicker mbali kucheza movie kuna mambo mambo walifanya eti kwa sababu tu Wema ameachana na aliekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na hivyo alitaka kumrusha roho, kitu ambacho hakina ukweli wowote.
Kupitia ukurasa wake...