Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC kujenga miji midogo 3

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limesema limedhamiria kubadili na kuboresha mandhari katika Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mingine baada ya kuzindua miradi mitatu ya ujenzi wa miji midogo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

NHC sasa kujenga miji ya kisasa Dar es salaam

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limepata mkopo wa Dola za kimarekani 1.7 bilioni kutoka China kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya miji ya kisasa jijini Dar es salaam.

 

10 years ago

StarTV

NHC yashauriwa kujenga nyumba za kisasa pembezoni mwa miji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete amewashauri watendaji wa shirika la nyumba kuwa wabunifu kwa kujenga nyumba zenye hadhi ya juu pembezoni mwa mji ili kupunguza msongamano katikati ya jiji  la Dar Es Salaam.

Pia amelitaka shirika la nyumba la taifa kujiunga na mkongo wa taifa ili kuweza kufanya shughuli zake kupitia mtandao na kurahisisha upatikanaji wa  huduma kwa watanzania.

Akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa Morroco Square, ulio chini ya shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

ARUSHA KUPATA MIJI MIWILI YA KISASA-NHC

Wawasilishaji, James Kisarika, Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City na Ms. Meena Pandit, Mkurugenzi , PHILS International  ambao ni Washiriki wa NHC katika katika uendelezaji wa Mradi huo.
 Pichani.
James Kisarika akisalimiana na  Katibu Tawala Mkoa, Ndugu Ado Mapunda, muda mfupi Kabla kuanza mawasilisho ya Mradi Wa Safari City.
 Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City akitoa mada kuhusu mradi huo .  Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati ya...

 

10 years ago

Mwananchi

NHC Arusha kujenga nyumba 4,500

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Arusha, litajenga nyumba za kisasa 4,500.

 

11 years ago

Michuzi

NHC kujenga Satelite City Jijini Arusha

Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii,Moshi.
Eneo hilo la Tengeru ambalo zamani lilikuwa likimilikiwa na Hortculture Tanzania Ltd linatazamiwa kujengwa mji wa kisasa utakaojulikana kama Satelite City.
Mkurugenzi wa shirika la nyumba la taifa NHC Nehemea Mchechu aliwaambia wajumbe wa kamati ya ardhi ,amaliasili na mazingira kuwa tayari NHC imenunua ekari 600 ambazo zimegharimu kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 5.
Nyumba 300 zinatarajiwa kujengwa katika awamu ya kwanza ya mradi huo...

 

11 years ago

Habarileo

JK aahidi kuisukuma NHC kujenga nyumba Chemba lakini…

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Halmashauri ya Chemba kutoa ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili liweze kujenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa halmashauri hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi: NHC ipatiwe viwanja vya kujenga nyumba nafuu

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amezitaka halmashauri kote nchini kutenga maeneo ya viwanja ili Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) liweze kujenga nyumba bora na za gharama nafuu zitakazouzwa kwa wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

UJASIRIAMALI: Mitaji midogo kikwazo kwa vikundi

>Ukosefu wa mbinu za kuboresha bidhaa, mtaji mdogo, matatizo ya afya na ukosefu wa mbinu za kuendeleza mikopo midogo ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanawake waliojiajiri katika shughuli za usindikaji vyakula na utengenezaji wa bidhaa za mikono.

 

11 years ago

Mwananchi

Mipango, mikakati na miradi midogo ina uwezo kufanikiwa

Miaka 40 hivi iliyopita, Profesa E.F. Schumacher aliandika kitabu ambacho kilipewa jina la ‘Small is Beautiful’ au kwa Kiswahili chepesi Kidogo ni Kizuri au chema ambacho kwa wakati huo kiliaminika kuwa mwarobaini wa matatizo mengi yanayoikumba Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani