Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC yashauriwa kujenga nyumba za kisasa pembezoni mwa miji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete amewashauri watendaji wa shirika la nyumba kuwa wabunifu kwa kujenga nyumba zenye hadhi ya juu pembezoni mwa mji ili kupunguza msongamano katikati ya jiji  la Dar Es Salaam.

Pia amelitaka shirika la nyumba la taifa kujiunga na mkongo wa taifa ili kuweza kufanya shughuli zake kupitia mtandao na kurahisisha upatikanaji wa  huduma kwa watanzania.

Akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa Morroco Square, ulio chini ya shirika la...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NHC sasa kujenga miji ya kisasa Dar es salaam

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limepata mkopo wa Dola za kimarekani 1.7 bilioni kutoka China kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya miji ya kisasa jijini Dar es salaam.

 

11 years ago

Habarileo

NHC kujenga miji midogo 3

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limesema limedhamiria kubadili na kuboresha mandhari katika Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mingine baada ya kuzindua miradi mitatu ya ujenzi wa miji midogo.

 

10 years ago

Michuzi

ARUSHA KUPATA MIJI MIWILI YA KISASA-NHC

Wawasilishaji, James Kisarika, Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City na Ms. Meena Pandit, Mkurugenzi , PHILS International  ambao ni Washiriki wa NHC katika katika uendelezaji wa Mradi huo.
 Pichani.
James Kisarika akisalimiana na  Katibu Tawala Mkoa, Ndugu Ado Mapunda, muda mfupi Kabla kuanza mawasilisho ya Mradi Wa Safari City.
 Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City akitoa mada kuhusu mradi huo .  Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati ya...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

10 years ago

Mwananchi

NHC Arusha kujenga nyumba 4,500

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Arusha, litajenga nyumba za kisasa 4,500.

 

10 years ago

Habarileo

JK aahidi kuisukuma NHC kujenga nyumba Chemba lakini…

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Halmashauri ya Chemba kutoa ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili liweze kujenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa halmashauri hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi: NHC ipatiwe viwanja vya kujenga nyumba nafuu

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amezitaka halmashauri kote nchini kutenga maeneo ya viwanja ili Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) liweze kujenga nyumba bora na za gharama nafuu zitakazouzwa kwa wananchi.

 

10 years ago

Vijimambo

UTT-PID NA SUMA JKT KUJENGA NYUMBA ZA KISASA KWA AJILI YA KUUZA

Mtendaji Mkuu wa UTT-PID, Dr. Gration Kamugisha (kushoto) akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu Lt-Colonel, Felix Samillan baada ya kutiliana saini ya mkataba wa kujenga nyumba za kisasa za kuuza kwa askari na maofisa wa jeshi na umma mradi unaotarajiwa kujengwa Chalinze
Na Mwandishi Wetu
Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) kwa kushirikiana na Taasisi ya SUMA JKT imesainiana mkataba wa makubaliano wa ujenzi wa nyumba za kisasa za kuuza kwa askari...

 

10 years ago

Vijimambo

UTT-PID NA SUMA JKT KUJENGA NYUMBA ZA KISASA ZA KUUZA LWA MAAFISA WA JESHI NA UMMA

Mtendaji Mkuu wa UTT-PID, Dr. Gration Kamugisha (kushoto) akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu Kanali, Felix Samillan baada ya kutiliana saini ya mkataba wa kujenga nyumba za kisasa za kuuza kwa askari na maofisa wa jeshi na umma mradi unaotarajiwa kujengwa Chalinze
Na Mwandishi WetuTaasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) kwa kushirikiana na Taasisi ya SUMA JKT imesainiana mkataba wa makubaliano wa ujenzi wa nyumba za kisasa za kuuza kwa askari na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani