Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWZZZZZZ: MKATABA WA YANGA, OKWI HAUPO NA SASA YUPO HURU KUCHEZEA TIMU YOYOTE AITAKAYO

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo (Septemba 7 mwaka huu) na kupitia masuala mbalimbali ikiwemo mgogoro wa kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Emmanuel Okwi (pichani kushoto akipokea jezi baada ya kusajiliwa na Simba). Mkataba huo ulipitiwa na Kamati ikiwemo kumsikiliza mchezaji mwenyewe pamoja na upande wa Yanga, na kuridhika kuwa mkataba kati ya pande hizo umevunjika. Ukiwa ni mkataba wa pande mbili, Yanga ilikiuka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga

>Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), limemaliza utata kwa kumruhusu mshambuliaji Emmanuel Okwi kuitumikia Yanga kama usajili wake umekidhi vigezo.

 

11 years ago

Michuzi

BREKING NYUUUZZZZZZ: Emmanuel Okwi ruksa kuchezea yanga - FIFA

Shirikisho la Soka Dunia (FIFA), limemruhusu mshambuliaji Emmanuel Okwi kuichezea Yanga. Barua ya Fifa iliyotua ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ilisema kuwa suala la malipo ya Simba kwa Etoile du Sahel hayausiani na Emmanuel Okwi kucheza mpira.  Rais wa TFF, Jamal Malinzi amesema kuwa taarifa hiyo ya Fifa imemruhusu mshambuliaji huyo acheze mpira iwapo ametimiza vigezo vyote vya usajili ikiwemo ITC.  "FIFA  wametuletea taarifa leo saa nne asubuhi na wametaka Okwi aruhusiwe...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZ:TUKIO LA AJALI MIKESE HIVI PUNDE.

Chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde kimearifiwa na kutumiwa picha za tukio la ajali eneo la Mikese na Mdau Martin Mnyenyelwa,lakini hakutufahamisha kuhusiana na athari ya ajali hiyo akiwa kama shuhuda wa tukio hilo. Kulingana na tukio ya taarifa hii kuwa nyembamba,basi tuvute subira tutajuzana kadiri ya zitakavyokuwa zikiiingia kwenye chumba chetu cha habari

 

10 years ago

BBCSwahili

Kolo kuacha kuchezea Timu ya Taifa

Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa.

 

10 years ago

StarTV

Kolo kustaafu kuchezea timu ya Taifa.

Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mara baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Mataifa huru barani Afrika mwakani

Nyota huyo mwenye miaka 33- anayecheza klabu ya Liverpool ya Uingereza ameitumikia timu yake ya taifa mara 109.

Alikuwa mmoja wa wachezaji walikuwa kwenye kikosi kilichofuzu kucheza Michezo ya Kombe la Mataifa huru mwaka 2015 inayotarajiwa kufanyika kuanzia17 Januari mpaka 8 Februari huko Equatorial Guinea.

“Nina...

 

10 years ago

GPL

TFF: Messi yupo huru kuondoka Simba

Kiungo wa Simba, Ramadhan Singano ‘Messi. Said Ally, Dar es Salaam
RASMI! Baada ya kutokea sintofahamu kwa takribani mwezi mmoja, hatimaye Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetoa tamko kwamba kiungo wa Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’, kwa sasa yupo huru kutokana na klabu hiyo kuuvunja mkataba wake. Kwa muda wote huo, Simba ilikuwa kwenye mgogoro wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani