Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF: Messi yupo huru kuondoka Simba

Kiungo wa Simba, Ramadhan Singano ‘Messi. Said Ally, Dar es Salaam
RASMI! Baada ya kutokea sintofahamu kwa takribani mwezi mmoja, hatimaye Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetoa tamko kwamba kiungo wa Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’, kwa sasa yupo huru kutokana na klabu hiyo kuuvunja mkataba wake. Kwa muda wote huo, Simba ilikuwa kwenye mgogoro wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

TFF: Messi ni mchezaji huru

Utata uliogubika mkataba wa Ramadhani Singano dhidi ya timu yake ya Simba ,umefikia tamati baada ya TFF kusema yuko huru .

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER: TFF: ‘Messi’ free to leave giants Simba

>The tug-of-war between Simba Sports Club and striker Ramadhan “Messi” Singano over the duration of the players’ contract is finally over.

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA YA SINGANO 'MESSI' WA SIMBA YA FUNYWA RASMI NA TFF.


Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'.
LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo mbili zilikutana chini ya TFF.Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana.
Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano mapya.
Upande wa Singano haujakubaliana na maamuzi hayo kwa sababu unamtaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fabregas:Messi hawezi kuondoka Barcelona

Mchezaji wa kiungo cha kati katika kilabu ya Chelsea Cesc Fabregas anaamini kwamba Lionel Messi hataondoka Barcelona.

 

11 years ago

BBCSwahili

Musharaf huru kuondoka Pakistan

Mahakama moja nchini Pakistani imemruhusu rais wa zamani Pervez Musharraf kuondoka nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZ: MKATABA WA YANGA, OKWI HAUPO NA SASA YUPO HURU KUCHEZEA TIMU YOYOTE AITAKAYO

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo (Septemba 7 mwaka huu) na kupitia masuala mbalimbali ikiwemo mgogoro wa kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Emmanuel Okwi (pichani kushoto akipokea jezi baada ya kusajiliwa na Simba). Mkataba huo ulipitiwa na Kamati ikiwemo kumsikiliza mchezaji mwenyewe pamoja na upande wa Yanga, na kuridhika kuwa mkataba kati ya pande hizo umevunjika. Ukiwa ni mkataba wa pande mbili, Yanga ilikiuka...

 

10 years ago

Mtanzania

Sakata la Messi latinga TFF

MESSI GOALABDUCADO EMMANUEL NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SAKATA la winga wa timu ya Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’, akidai mkataba wake umechezewa na klabu yake hiyo sasa limefika rasmi kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili utata wake kumalizwa.
Messi amekuwa na mvutano mkubwa na klabu yake akidai mkataba wake wa miaka miwili umechezewa kwa kuongezewa mwaka mmoja zaidi unaoisha Julai mwakani, tofauti na ule alionao yeye unaomalizika mwezi ujao.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Wanasoka Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yachemsha kwa Messi, Banda, Okwi

Katibu mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah amesema vitendo vinavyoendelea kufanywa vya kuvunja mikataba ya wachezaji na kuwatangaza kuwa huru ni hatari kwa maendeleo ya mpira na vinakiuka kanuni za Fifa.

 

11 years ago

GPL

Tambwe atangaza kuondoka Simba

Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
STRAIKA wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe huenda akavunja mkataba wake na klabu hiyo na kuondoka zake mara baada ya kumalizika kwa msimu huu, ikiwa timu hiyo haitapata nafasi ya kuwakilisha taifa kwenye mashindano ya kimataifa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani