Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC, benki waingia mkataba kusaidia wateja

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limeingia mkataba wa makubaliano na benki nyingine nne ili kuwawezesha wateja wake wanaotaka kununua nyumba za shirika hilo kupata mikopo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

NHC sasa waingia mkataba na DSE


NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limeingia mkataba na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wa mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wake wa Morocco Square ulioko Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkataba huo ulitiwa saini jana na Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa DSE, Moremi Marwa.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano hayo, Mchechu alisema mkataba huo utagharimu sh. bilioni 3.3 na kwamba malipo yatafanyika kwa awamu nne katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHC na DSE waingia mkataba wa makubaliano ya bilioni 3.366 ya kitega uchumi cha Morocco Square

hc1

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii).

hc2

Mkurugenzi wa Shirika...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks, akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza hivi karibuni katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wao wa Jiji la Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na benki hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ) YAFUTARISHA WANA FAMILIA WA BENKI HIYO NA WATEJA WAKE

 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya (PBZ) na wageni walikwa wakiingia kwenye ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort kwa kupata futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wana Famili wa Benki hiyo na wateja wao.

 Mkurugenzi Masoko PBZ Seif Suleiman akiwaongoza wageni walikwa kupata futari iliyoandaliwa na Benki hiyo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

 Walikwa na wafanyakazi wa PBZ wakijipakuli futari.

 Walikwa na wafanyakazi wa PBZ wakijipakuli futari. Mkurugenzi Huduma za Kibenki Said M....

 

10 years ago

Michuzi

TTCL na Huawei waingia mkataba wa kuboresha mawasiliano nchini

Afisa Mtendaji Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang wakisaini mikataba ya makubaliano ya kupanua na kuboresha mtandao wa TTCL wa simu za mezani, mkononi pamoja na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambao unagharimu zaidi ya kiasi cha dola za kimarekani milioni 182.Afisa Mtendaji Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang...

 

11 years ago

GPL

NHC, UCHUMI SUPERMARKET WASAINI MKATABA KIBIASHARA

Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi Supermarket, Dk. Jonathan Ciano akiongea jambo wakati wa makubaliano hayo na NHC. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu wakati wa makubaliano hayo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya CRDB yampa tunzo Mohammed Dewji ‘MO’ kwa ushiriki mkubwa wa benki hiyo katika wiki ya huduma kwa wateja

MO D

Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front  wakati wa  kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za MeTL GROUP,  jijini Dar es Salaam.

MO2

Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohammed enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mo dewji  akionyesha barua ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Oriflame kusaidia wateja wake ada

KAMPUNI ya Oriflame inayojishughulisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali za urembo, imetangaza kuanza kuwasaidia wateja waliopo kwenye kampuni hiyo kwa kuwalipia ada za shule za watoto wao. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

GPL

NHC YAFUNGUA RASMI KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika hilo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kituo hicho kilichopo Makao makuu ya Shirika barabara ya Ufukoni na Ali Hassan Mwinyi, jijini Dar es salaam, Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari. Pichani ni baadhi ya waandishi wa habari wanaoshuhudia tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani