TANZANIA YASAINI MKATABA WA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA
Na Jacquiline Mrisho na Nyakongo Manyama -MAELEZOSERIKALI ya Tanzania imesaini mikataba miwili na Serikali ya Uswisi ili kuendeleza na kuimarisha huduma za kijamii nchini hasa katika Sekta ya Afya.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salam Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile amesema kuwa kupitia ushirikiano uliopo baina ya nchi hizo mbili, Serikali ya Uswisi inaendelea kusaidia kuboresha Sekta ya Afya nchini hususani kuhakikisha wananchi wanapata huduma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gu-i5AZYvlQ/VWXKOXtf2lI/AAAAAAAHaGY/rhBLgXG6l7U/s72-c/20150526_103105.jpg)
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YASAINI MKATABA WA KUBORESHA HUDUMA ZA UFUNDI WA VIFAA TIBA
Pia kuwapa vitendea kazi(tools kits, measuring and calibration equipment) vyenye kuwezesha mafundi kuhakiki ubora wa ufanyaji kazi kwa baadhi ya vifaa tiba...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-X634UbgI2ow/VD5EtyIg6RI/AAAAAAAGqk0/-cGDN7ph7XY/s72-c/ABG%2B1.jpg)
AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7JcyW5fAGTg/VItHiJvazxI/AAAAAAACwYQ/UP6Gyi5p-1g/s72-c/01.jpg)
Tanzania yasaini mkataba wa Sh. bilioni 15.5 kutoka benki ya ADB kuboresha kituo cha utafiti MUHAS.
![](http://2.bp.blogspot.com/-7JcyW5fAGTg/VItHiJvazxI/AAAAAAACwYQ/UP6Gyi5p-1g/s1600/01.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LXDjioyJfts/VItHlPvYdlI/AAAAAAACwYg/41byjXYvSRk/s1600/02.jpg)
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Serikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird...
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Magufuli aahidi kuboresha huduma za afya
10 years ago
Michuzi03 Sep
NHIF kuendelea kuboresha huduma za afya nchini.
![](https://1.bp.blogspot.com/-T6nqPhNgnEU/VAb_toZEIDI/AAAAAAAAXr4/8lCHWbx5ja8/s1600/Mwamoto.jpg)
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko huo Bw. Deusdedit Rutazaa.
![](https://3.bp.blogspot.com/-aJiNXi1xSAU/VAb_ttg8iWI/AAAAAAAAXrg/fPs_Bv3MWOg/s1600/Deusidedit%2BRutazaa.jpg)
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU: TUENDELEE KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Magari hayo 10 ni kati ya magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya sh. bilioni sita yaliyonunuliwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Global Fund. Kati ya magari hayo, 18...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-rJ0IlpEwnlE/Ve1rG3y9hFI/AAAAAAAAFgc/fkT4HlToiq8/s72-c/DAS.jpg)
MKUTANO WA KUJADILI UPANGAJI WA MIPANGO WA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-rJ0IlpEwnlE/Ve1rG3y9hFI/AAAAAAAAFgc/fkT4HlToiq8/s640/DAS.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vyGbe6M2xgA/Ve1rH3v4HdI/AAAAAAAAFg0/RcV4r04JwMw/s640/KIMULI.jpg)
Mkutano huo wenye madhumuni ya kushirikiana katika matokeo ya utekelezaji wa mradi wa CEGO (citizens engaging in government oversight in health service provision ) kwa kupitia...
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Plan kutumia mil. 161/- kuboresha huduma ya afya
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Plan Ifakara linakusudia kutumia sh milioni 161 katika mwaka wa fedha 2013/2014 ili kuboresha huduma za afya katika kata saba wilayani Kilombero. Akizungumza katika kikao...