Mfuko wa Maendeleo ya Jamii chachu ya Maendeleo Wilaya ya korogwe
![](http://4.bp.blogspot.com/-BEZF91u9VOQ/VJqO6viUH1I/AAAAAAAG5f8/Lox9sldAm5E/s72-c/1220-nyota%2Balfajiri.jpg)
Afisa Uchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Bw.Yohana Ngao(wa kwanza kulia) akiskiliza maoni kutoka kikundi cha Nyota Alfajiri ambao wameanzisha mradi wa kutengeneza Matofali na kuuza Asali ambapo walichukua mkopo wa shilingi milioni mbili na kurudisha kiasi cha shilingi laki 732,000 wakiwa wamefata taratibu zote za kurudisha mkopo ndani ya mwezi mmoja.
Wajumbe wa Kikosi kazi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wakiaangalia moja ya mradi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM
10 years ago
MichuziMfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakutana na wadau wa Maendeleo jijini DSM kufanya Mapitio ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini PSSN.
11 years ago
MichuziVIJANA KUANDALIWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO YA JAMII
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EYXICsT0ySQ/XktrML4Q1CI/AAAAAAALd1g/fTqwgoYfwo81bAbUBa3GmuNa_9CGulnvwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MKURUGENZI MTENDAJI MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII AANIKA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KWA KAYA MASIKINI ZILIZOFIKIWA NA MFUKO HUO NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-EYXICsT0ySQ/XktrML4Q1CI/AAAAAAALd1g/fTqwgoYfwo81bAbUBa3GmuNa_9CGulnvwCLcBGAsYHQ/s1600/index.jpg)
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ladislaus Mwamanga amesema kuwa programu ya TASAF imetekelezwa katika awamu tatu na imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali katika ngazi ya jamii kwa lengo la kupunguza umasikini kwa msingi wa kutoa huduma za jamii katika sekta zote.
Utekelezaji huo umekuwa ukizingatia mahitaji halisi au kero za wananchi wenyewe kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Serikali na kwamba awamu ya kwanza ya TASAF...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_dBr7FLEX24/Xm-b3vTzW7I/AAAAAAALj7w/xpnjaSq43qcGgvA3XmYan43tDIq0Xk4RACLcBGAsYHQ/s72-c/0c82b8ba-5145-42a8-a440-3531bad6450a.jpg)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.
Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...
11 years ago
MichuziMFUKO WA MAENDELEO YA JAMII,TASAF NA JITIHADA ZA KUPAMBANA NA UMASIKINI NCHINI.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF umeanza zoezi la kuwashirikisha walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masikini kuibua miradi ya Ujenzi PWP...