Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA KUANDALIWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO YA JAMII

Mkuu wa Kampuni ya TATA Africa Holdings (Tanzania) Ltd Bw. Prashant Shukla akielezea jinsi watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuwawezesha vijana kuleta maendeleo katika jamii, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Pro. Elisante Ole Gabriel na katikati ni Mkuu wa kitengo cha kozi fupi na ushauri chuo cha Mzumbe Pro. Shiv K. Tripathi. Mkuu wa kitengo cha kozi fupi na ushauri chuo cha Mzumbe Pro. Shiv K. Tripathi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii chachu ya Maendeleo Wilaya ya korogwe

Afisa Uchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Bw.Yohana Ngao(wa kwanza kulia) akiskiliza maoni kutoka kikundi cha Nyota Alfajiri ambao wameanzisha mradi wa kutengeneza Matofali na kuuza Asali ambapo walichukua mkopo wa shilingi milioni mbili na kurudisha kiasi cha shilingi laki 732,000 wakiwa wamefata taratibu zote za kurudisha mkopo ndani ya mwezi mmoja.Wajumbe wa Kikosi kazi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wakiaangalia moja ya mradi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana ni chachu ya maendeleo

TAIFA lolote lile, ili liendelee, linahitaji nguvu ya vijana. Mtu anapokuwa kijana anapata fursa pekee ambayo akili na mwili huwa na uchu na uwezo wa kuchapa kazi. Pindi atakapozeeka, hubakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii yafurahishwa na miradi ya Vijana

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe.Maabad S. Hoja akifafanua jambo wakati wa kikao na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii walipofanya ziara ya kutembelea Vikundi vya Vijana vilivyopata mkopo kutoka Wizara ya Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa hiyo Bw. P. Kagimbo, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Juma Nkamia (MB) na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii,...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII

Na Mwandishi Wetu Arusha

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.

Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...

 

9 years ago

Michuzi

JAMVI LA VIJANA LA UMATI MWEZI HUU LIMEKUWA CHACHU YA KUHAMASISHA VIJANA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI

 Vijana wa YAM ( Youth Action Movement) ambao ni waandaaji wa tamasha hili linalofanyika kila mwezi wakionesha igizo lao lililobeba ujumbe unaosema ni jukumu la wazazi kuwaelimisha vijana juu ya afya ya uzazi na ujinsia ili kuwakinga na maambukizi ya VVU mimba katika umri mdogo na ngono katika umri mdogo.Mwenyekiti wa UMATI dar es salaam Mr.Harith Shomvi ambae alikuwa mgeni rasmi  katika tamasha hilo akihutubia wananchi na kuwasisitiza wapate huduma za uzazi wa mpango na upimaji ambazo...

 

11 years ago

Michuzi

Mitaji ya ubia chachu ya maendeleo–Dk. Nagu

Mitaji ya ubia imetajwa kama mpango unaoweza kuongeza nguvu katika miradi ya wafanyabishara nchini na kuchangia uchumi na ustawi wa jamii.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni kuwa kukubalika kwa mpango wa mitaji ya ubia ni moja ya utayari wa serikali katika kuweka mazingira ya kuifanya sekta binafsi kuwa injini ya uchumi hapa nchini. “Hiki ni chanzo mbadala cha mitaji ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani