Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anayedai kubakwa na Mbasha atoa ushuhuda

SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya ubakaji inayomkabili mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) ameieleza mahakama jinsi alivyobakwa akiwa kwenye gari na nyumbani kwao. Shahidi huyo mwenye umri wa miaka 17 (jina limehifadhiwa) ambaye pia ni shemeji wa Mbasha, alidai mbele ya Hakimu Wilberforce Luhwago kuwa Mei 23 mwaka huu, Mbasha alimbaka kwa mara ya kwanza wakati mkewe Flora akiwa hayupo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SAKATA LA EMMANUEL MBASHA KUBAKA: Daktari Atoa Ushahidi Mahakamani, Asema Vipimo Havikuonyesha Dalili yoyote ya Msichana Huyo Kubakwa


Shahidi wa nne katika kesi ya tuhuma za ubakaji inayomkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, jana alidai mahakamani kuwa hakuona dalili zozote za kuingiliwa kimwili mlalamikaji.
Hayo yalidaiwa na daktari wa Hospitali ya Amana, Migole Mtuka, ambaye alimfanyia vipimo msichana huyo.Daktari huyo alidai katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba vipimo alivyomfanyia msichana huyo anayedaiwa kubakwa na Mbasha, havikuonyesha kitu chochote.
Dk. Migole alidai kuwa...

 

10 years ago

GPL

LUNGI ATOA USHUHUDA MZITO WA AIBU

Hamida Hassan
Staa wa filamu Bongo, Lungi Maulanga hivi karibuni ametoa ushuhuda wake kwamba alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kujisaidia kitandani mpaka alipofika kidato cha pili lakini alipona katika mazingira ya kushangaza. Staa wa filamu Bongo, Lungi Maulanga. Akizu-ngumza  na Ijumaa Lungi alifunguka: “Nikiri tu kwamba nilikuwa kikojozi mpaka nafikia form two, nilikuwa naona aibu sana lakini aliyenisaida ni bibi...

 

5 years ago

Michuzi

MTANZANIA ATOA USHUHUDA HALI ILIVYO NCHINI ITALIA BAADA YA MLIPUKO WA VIRUSI VYA COVID-19 ‘WAPO LOCKDOWN’

Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV

Hali ya Maambukizi ya Virusi vya COVID-19 imetajwa kuwa si shwari nchini Italia kwa Wananchi wengi nchini humo kujifungia ndani (Lockdown) kutokana na kasi ya maambukizi ya virusi hivyo vilivyosambaa sehemu nyingi duniani kwa sasa.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Parma (Parma Unniversity) kilichopo nchini Italia, Mtanzania Frank Charles amezungumza na Michuzi Blog, Michuzi TV ameeleza hali si shwari nchini humo kutokana na Wananchi wengi kujifungia ndani muda wote...

 

10 years ago

GPL

FLORA ATOA USHAHIDI KESI YA MBASHA KWA SIRI

Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha. KESI ya kudaiwa kumbaka shemeji yake inayomkabili mfanyabiashara na mwimba Injili Bongo, Emmanuel Mbasha imeendelea kuunguruma leo katika Mahakama ya Ilala jijini Dar ambapo mkewe Flora alifika na kutoa ushahidi kwa siri. Kesi hiyo ilianza kuunguruma kwenye ofisi ya hakimu (Chamber), mishale ya saa 5 hadi saa 8 mchana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...

 

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

‘Hakuna mjumbe Bunge Maalumu anayedai posho’

Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge, Jossey MwakasyukaOFISI ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, akisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna mjumbe anayedai posho.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waridi wa BBC: Mwanamke anayedai kufanya ngono na pepo

Vennie Katoti alishindwa kuolewa baada ya kuanza kufanya ngono na mwanaume asiyemuona.

 

10 years ago

GPL

ANAYEDAI WIFI WA ZARI AZUIWA GETINI KWA DIAMOND

Waandishi wetu Mrembo aliyedai ni dada wa hiyari wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliyejitambulisha kwa jina moja la Rose akijiita wifi wa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, hivi karibuni ameumia kupita maelezo baada ya kuzuiwa kuingia nyumbani kwa mastaa hao, Ijumaa lina mkanda mzima. Soma zaidi===>http://bit.ly/1e4hQg7 ...

 

10 years ago

GPL

MGANGA ANAYEDAI KUMNG’ARISHA MENINAH ATOBOA SIRI NZITO

Na Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
Mganga aliyejita-mbulisha kwa jina moja la Kimweri ameibuka na madai mazito kuwa ndiye aliyemng’arisha staa wa kike wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Meninah La diva’ hivyo kutoa siri nzito ambayo wengi hawakuijua.Kwa mujibu wa chanzo makini, mganga huyo amekuwa akimfanyia ndumba msanii huyo ili arudiane na aliyekuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani