Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUNGI ATOA USHUHUDA MZITO WA AIBU

Hamida Hassan
Staa wa filamu Bongo, Lungi Maulanga hivi karibuni ametoa ushuhuda wake kwamba alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kujisaidia kitandani mpaka alipofika kidato cha pili lakini alipona katika mazingira ya kushangaza. Staa wa filamu Bongo, Lungi Maulanga. Akizu-ngumza  na Ijumaa Lungi alifunguka: “Nikiri tu kwamba nilikuwa kikojozi mpaka nafikia form two, nilikuwa naona aibu sana lakini aliyenisaida ni bibi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Anayedai kubakwa na Mbasha atoa ushuhuda

SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya ubakaji inayomkabili mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) ameieleza mahakama jinsi alivyobakwa akiwa kwenye gari na nyumbani kwao. Shahidi huyo mwenye umri wa miaka 17 (jina limehifadhiwa) ambaye pia ni shemeji wa Mbasha, alidai mbele ya Hakimu Wilberforce Luhwago kuwa Mei 23 mwaka huu, Mbasha alimbaka kwa mara ya kwanza wakati mkewe Flora akiwa hayupo.

 

5 years ago

Michuzi

MTANZANIA ATOA USHUHUDA HALI ILIVYO NCHINI ITALIA BAADA YA MLIPUKO WA VIRUSI VYA COVID-19 ‘WAPO LOCKDOWN’

Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV

Hali ya Maambukizi ya Virusi vya COVID-19 imetajwa kuwa si shwari nchini Italia kwa Wananchi wengi nchini humo kujifungia ndani (Lockdown) kutokana na kasi ya maambukizi ya virusi hivyo vilivyosambaa sehemu nyingi duniani kwa sasa.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Parma (Parma Unniversity) kilichopo nchini Italia, Mtanzania Frank Charles amezungumza na Michuzi Blog, Michuzi TV ameeleza hali si shwari nchini humo kutokana na Wananchi wengi kujifungia ndani muda wote...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA KUHUSU VIRUSI VYA CORONA

  Rais  Magufuli amewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona akisema ni hatari zaidi kwa maelezo kuwa ni ugonjwa hatari na Shirika la Afya Duniani (WHO) limeshatoa tahadhari.
Ametoa tahadhari hiyo leo Ijumaa Machi 13,2020 wakati akizindua  karakana ya kisasa ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) iliyojengwa kwa Sh8.5 bilioni kwa ufadhili wa Serikali ya Ujerumani.
Rais Magufuli amesema ingawa ugonjwa huo umesambaa katika maeneo mbalimbali dunia bado Tanzania...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanamitindo Millen Magese Alazwa Tena Hospitalini, Atoa Ujumbe Mzito Akiwa Katika Maumivu Makali

Mwanamitindo Maarufu Millen Magese Amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa kitandani kwa mara nyingine tena akipata matibabu kuhusu ugonjwa unaomsumbua na kuandika ujumbe huu wa kusikitisha:"
I didn't want to Post any pic this time because Iam exhausted ....but posting this pic today is just to insist ...Endometriosis is real. I truly don't wish to see any young girl/woman go through this pain . It's not just your period pain , it's more than that. May this remind women from all over...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-2

Ni kauli ya mjumbe aliyeshiriki mchakato wote wa Katiba ndani Bunge Maalumu, ikiwemo kuipigia kura rasimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani