Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE ANAYEONYESHA DALILI ZA CORONA ATAFANYIWA VIPIMO ILA HATUTANGAZI

  Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema kuwa Mbunge yeyote ambaye anahisi ana dalili za maambukizi ya Virusi vya Corona anafanyiwa vipimo, isipokuwa hawatangazi tu kwenye vyombo vya habari.

Spika Ndugai ameyabainisha hayo, wakati akifanya mazungumzo maalum na kuhojiwa kwamba je wanao mpango wa kuwafanyia vipimo Wabunge wote ili atakayebainika kupata maambukizi awekwe Karantini?, ambapo Spika alijibu.

"Kila Mbunge ambaye anajihisi vibaya anafanyiwa vipimo, tunachofanya hatutangazi tu"...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Vipimo vinavyotumika kupima corona Tanzania havina hitilafu

Bodi ya Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) inakataa matamshi ya Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kwamba vifaa vya kupimia viruisi vya corona haviko sahihi.

 

10 years ago

Vijimambo

SAKATA LA EMMANUEL MBASHA KUBAKA: Daktari Atoa Ushahidi Mahakamani, Asema Vipimo Havikuonyesha Dalili yoyote ya Msichana Huyo Kubakwa


Shahidi wa nne katika kesi ya tuhuma za ubakaji inayomkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, jana alidai mahakamani kuwa hakuona dalili zozote za kuingiliwa kimwili mlalamikaji.
Hayo yalidaiwa na daktari wa Hospitali ya Amana, Migole Mtuka, ambaye alimfanyia vipimo msichana huyo.Daktari huyo alidai katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba vipimo alivyomfanyia msichana huyo anayedaiwa kubakwa na Mbasha, havikuonyesha kitu chochote.
Dk. Migole alidai kuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watoto wengi walioapata corona hawakuonesha dalili

Utafiti uliofanywa Ulaya umebainisha ni nadra sana kutokea kwa vifo miongoni mwa watoto walioambukizwa virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

RMO SHINYANGA : SIYO KILA MGONJWA MWENYE DALILI ZA CORONA, ANA CORONA

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akifungua Mafunzo juu ya ugonjwa wa Corona kwa watoa huduma za afya kutoka katika vituo vya afya halmashauri ya wilaya ya Ushetu,Kahama Mji na Msalala yaliyofadhiliwa na Shirika la LifeWater International leo Alhamis Mei 7,2020 kwenye Ukumbi wa Kahama College of Health Sciences mjini Kahama. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blogMganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akiwasisitiza wataalamu wa afya kutumia taaluma yao...

 

5 years ago

BBCSwahili

Dalili potofu za Corona zitaondolewa YouTube

Mtandao wa Youtube umesema utaondoa taarifa yoyote inayoonyesha dalili za kupotosha kuhusu virusi vya Corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Boris Jonhson alazwa hospitali akionyesha dalili za virusi vya corona

Boris Johnson anaendelea na "vipimo vya kawaida", siku 10 baada ya kugunduliwa na virusi vya corona

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO TUPO SEHEMU ZOTE, KUHAKIKISHA VIPIMO VINATUMIKA KWA USAHIHI-STELLA

 Na Bakari Madjeshi, Michuzi TVKATIKA kuadhimisha Siku ya Vipimo Duniani, Mkurugenzi wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Stella Kahwa amesema kuwa Wakala huo upo sehemu zote hapa nchini kuhakikisha Vipimo katika Malighafi na bidhaa mbalimbali vinatumika na kuzingatiwa kwa usahihi.
Stella ameyasema hayo leo, May 20, 2020 jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho hayo yenye Kaulimbiu ya Vipimo katika Biashara ya Kimataifa. “Tanzania ni nchi ambayo inafanya Biashara kubwa nchi mbalimbali, vipimo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa ambao dalili za Covid-19 haziishi haraka

Wengi miongoni mwa wagonjwa hupona haraka ugonjwa wa Covid-19 - lakini kwa baadhi, dalili zake huendelea kujionyesha kwa wiki kadhaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani