Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu ataka uamuzi wa Mahakama uheshimiwe Kiteto

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza wote waliovamia eneo la Hifadhi ya Jamii ya Emborey ya Murtangos, kuondoka ili kuheshimu uamuzi wa mahakama ya rufani na akaagiza waliohusika na mauaji ya watu 15 kusakwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YATOA UAMUZI RUFAA YA MKUU WA WILAYA YA CHEMBA

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga kupinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Ukonga iliyoamuru Odunga kutoa Sh. Milioni saba kama sehemu ya gharama ya matunzo ya kumsomesha mtoto wake.
Uamuzi huo umetolewa leo Aprili 29, 2020 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Glory Nkwera ambaye amekazia hukumu hiyo na kumtaka Odunga kutoa kiasi hicho cha fedha Kama ilivyoamuliwa na mahakama ya mwanzo ya Ukonga...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ataka ushauri wa Rais uheshimiwe

Askofu mstaafu wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias IsujaWATANZANIA wameshauriwa kuendelea kuheshimu hadhi na mamlaka aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kwa kuthamini na kuzingatia mwongozo na ushauri mbalimbali anaoutoa kwa wananchi, kwani mamlaka hayo yanatoka kwa Mungu.

 

11 years ago

Michuzi

Naibu mwanasheria mkuu aomba mahakama kuu itupilie mbali kesi ya kikatiba dhidi ya waziri mkuu

NAIBU Mwanasheria Mkuu, Mhe
George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge yameondolewa. 
 Pia, Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi bunge halina mamlaka ya kuingilia mwenendo wa mahakama na kwamba kesi iliyopo mahakamani haina mashiko ya kisheria mahakama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mahakama yamtimua waziri mkuu wa Libya

Mahakama kuu chini libya imeamuru kuwa uchaguzi wa waziri mkuu haukuwa wa kweli na wa haki

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu Ugiriki ataka aungwe mkono

Waziri mkuu wa Ugiriki ameliomba bunge la nchi hiyo kuunga mkono mipango yake ya kunusuru uchumi wa taifa.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATAKA SADC IWABANE WANACHAMA WAKE

                 Ni katika suala la uanzishaji viwanda ili kukuza uchumi.  WAZIRI MKUU Mizengo Pinda (Pichani)amesema Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) haina kuweka mkakati utakaohakikisha kuwa nchi wanachama zinakuwa na mpango mahsusi wa kuendeleza viwanda kama ambavyo imekubaliwa kwenye kikao chao kilichomalizika leo.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Agosti 18, 2015), wakati akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza mkutano wa 35 wa wakuu wa nchi za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu ataka zoezi la usafi liwe endelevu

IMGS4237

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Meck Sadiki.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS4254

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015.

IMGS4277

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la  Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani