Askofu ataka ushauri wa Rais uheshimiwe
WATANZANIA wameshauriwa kuendelea kuheshimu hadhi na mamlaka aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kwa kuthamini na kuzingatia mwongozo na ushauri mbalimbali anaoutoa kwa wananchi, kwani mamlaka hayo yanatoka kwa Mungu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Waziri Mkuu ataka uamuzi wa Mahakama uheshimiwe Kiteto
9 years ago
MichuziASKOFU DR MDEGELLA ATAKA WATANZANIA KUMWOMBEA RAIS DR MAGUFULI KWA KAZI NZURI
Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT( Dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegella akimpa baraka ya Christmas mtoto Monica Kasesela huku babake mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela na binti yake Cathelin Kasesela wakishuhudia baada ya kumalizika kwa ibada ya pili katika usharika wa kanisa kuu
![](http://lh3.googleusercontent.com/-pLhe-jzjufo/Vnz6fVNIauI/AAAAAAACDOA/ePofSEGWakQ/s640/blogger-image--2110069268.jpg)
Askofu Dr Mdegela akitoa baraka
Mwalimu wa kwaya ya vijana katika kanisa kuu Bw Lupyana Samweli akipokea baraka za Christmas kutoka kwa askofu wa kanisa...
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Askofu KKAM alipa ushauri Bunge la Katiba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vDJBYwRNjtApz6syzf3f2fL81qzyHWTr-yNxsaLuUdZJrW3aa-ijnhr2lwx7m0LJ6BF3FuDnNnWt3Rp--cynRlm/UWAZI.jpg)
ALIYEZAA NA ASKOFU WA KKKT ATAKA D.N.A
11 years ago
Habarileo14 Apr
Askofu ataka Katiba ya Zanzibar irekebishwe
ASKOFU wa Jimbo Teule la Dodoma la Kanisa la Methodist, Joseph Bundala amesema ili kudumisha Muungano ni vyema Katiba ya Zanzibar irekebishwe.
11 years ago
Habarileo22 Dec
Askofu ataka madoa ya amani kufutwa
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Eusebius Nzigilwa amesema kwa mwaka huu yapo matukio yamejitokeza na kuweka doa katika suala la amani ya nchi hasa katika maeneo ya kidini, kisiasa na kiuchumi.
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Askofu Gwajima ataka kutoroshwa Kimafia
Na Waandishi Wetu,Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia wafuasi 15 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa tuhuma za kutaka kumtorosha Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima.
Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni Dar es Salaam, baada ya kupata mshituko wakati akihojiwa na makachero wa Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Askofu Mokiwa ataka Tume iheshimiwe
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Askofu ataka UKAWA warudi bungeni
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini (TMC), Mathew Byamungu ametoa wito kwa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea kwenye Bunge la Katiba pindi litakapoanza tena. Askofu...