Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri mkuu Ugiriki ataka aungwe mkono

Waziri mkuu wa Ugiriki ameliomba bunge la nchi hiyo kuunga mkono mipango yake ya kunusuru uchumi wa taifa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lukuvi aungwe mkono katika hili

Tangu zamani, matumizi ya ardhi yamekuwa ni moja ya mambo ambayo yamekuwa yakisababisha mizozo na hata migogoro mingi katika jamii mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa hili Kikwete aungwe mkono

KATIKA hotuba yake ya kufunga mwaka 2013 juzi, Rais Jakaya Kikwete alisema Operesheni Tokomeza Ujangili iliyositishwa kwa muda kutokana na utekelezaji wake kukumbwa na kasoro itaendelea baada ya kukamilika kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msama aungwe mkono katika vita hii ngumu

TASNIA ya sanaa kwa ujumla wake, si burudani tu bali ni ajira kwa wenye vipaji wanayoweza kuitumia katika kuendesha maisha yao kama ilivyo kwingineko duniani. Lakini, kwa hapa nchini bado...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msama aungwe mkono katika juhudi hizi kuntu

HIVI karibuni Mkurugenzi wa Kampuni ya  Msama Promotions, Alex Msama, ameibuka na wazo jipya la wenye uwezo kuwasaidia makundi maalumu katika jamii kama walemavu, yatima, wajane na wasio nacho kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Ugiriki kukutana na Putin

Waziri mkuu wa Ugiriki, Alexis Tsipras, amewasili mjini Moscow kukutana Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa mazungumzo maalum.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Ugiriki azidi kubanwa

Waziri mkuu wa ugiriki Alexis Tsipras wa Ugiirik anazidi kukabiliwa na upinzani kwa hatua mpya na kali za malipo alizokubali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Ugiriki aahidi mabadiliko

Waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras ameahidi kuongeza kima cha chini cha mishahara na kurejesha wafanyakazi walioachishwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunge launga mkono mapendekezo Ugiriki

Bunge la Ugiriki limeunga mkono mapendekezo ya hivi punde ya serikali yenye lengo la kumaliza tatizo la deni la nchi hiyo

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani