Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri mkuu wa Ugiriki kukutana na Putin

Waziri mkuu wa Ugiriki, Alexis Tsipras, amewasili mjini Moscow kukutana Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa mazungumzo maalum.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Ugiriki aahidi mabadiliko

Waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras ameahidi kuongeza kima cha chini cha mishahara na kurejesha wafanyakazi walioachishwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Ugiriki azidi kubanwa

Waziri mkuu wa ugiriki Alexis Tsipras wa Ugiirik anazidi kukabiliwa na upinzani kwa hatua mpya na kali za malipo alizokubali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu Ugiriki ataka aungwe mkono

Waziri mkuu wa Ugiriki ameliomba bunge la nchi hiyo kuunga mkono mipango yake ya kunusuru uchumi wa taifa.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO, MHE. PETER MIZENGO PINDA KUKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA JUMAMOSI

               
            

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania London unawakaribisha Watanzania wote watakaoweza kupata fursa kuja kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda hapo Ubalozini siku ya Jumamosi (tarehe 12 Julai 2014) kuanzia saa nane mchana hadi kumi na moja jioni (14:00 – 17:00 Hours)


Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kuzungumzia masuala mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu. Aidha atajibu maswali...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

5 years ago

BBCSwahili

Vladimir Putin: Kura itakayomuwezesha Putin kuwa madarakani miaka 36

Kwa miaka 20 Vladimir Putin amekuwa Rais au Waziri mkuu wa Urusi, lakini je ataendelea kuwa madarakani au la?

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW. -Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vizuri na kwamba aliridhia muamala huu ufanyike. Ndiyo maana katika maelezo yake ya
Bungeni mara kadhaa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha  Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda  ambaye Novemba 30,2015 alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo  Pinda ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015 kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda wakimsikiliza  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

IMGS2612

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS2602   Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015  ....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani