Kwa hili Kikwete aungwe mkono
KATIKA hotuba yake ya kufunga mwaka 2013 juzi, Rais Jakaya Kikwete alisema Operesheni Tokomeza Ujangili iliyositishwa kwa muda kutokana na utekelezaji wake kukumbwa na kasoro itaendelea baada ya kukamilika kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Lukuvi aungwe mkono katika hili
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Waziri mkuu Ugiriki ataka aungwe mkono
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Msama aungwe mkono katika juhudi hizi kuntu
HIVI karibuni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama, ameibuka na wazo jipya la wenye uwezo kuwasaidia makundi maalumu katika jamii kama walemavu, yatima, wajane na wasio nacho kwa...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Msama aungwe mkono katika vita hii ngumu
TASNIA ya sanaa kwa ujumla wake, si burudani tu bali ni ajira kwa wenye vipaji wanayoweza kuitumia katika kuendesha maisha yao kama ilivyo kwingineko duniani. Lakini, kwa hapa nchini bado...
10 years ago
Bongo Movies07 May
Andiko Hili la Wema Kuhusu Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015, Laungwa Mkono na Wengi
Naomba mimi kama Wema Sepetu, nitoe tamko langu rasmi kuhusu hii Sheria mpya iliyopitishwa bungeni. Naongelea Sheria ya cybercrime au cyberbulling. Ukweli ni Kwamba watanzania tunatumia vibaya mitandao ya kijamii. Matusi yamekuwa ni mengi na sometimes hawavumiliki. Kwa kweli kunahitahija Kuwa na laws in place za kupunguza unyanyasaji kupititia mitandao ya kijamii. That said, yes nai support hii bill ya cyber crime to an extend.
Kama jinsi ambavyo watanzania tunatumia vibaya mitandao kwa...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA
10 years ago
Habarileo11 May
UN waunga mkono kazi ya Kikwete
JUMUIYA ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini hapa, imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais Jakaya Kikwete.
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Wakubwa waunga mkono kazi ya Jopo la Rais Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa Linalopendekeza Jinsi Dunia inavyoweza kukabiliana na majanga yajayo ya magonjwa ya milipuko, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Jumatano, Julai 15, 2015, ameongoza vikao vya Jopo hilo ambalo kazi yake imeungwa mkono na nchi 21 ambazo zilichangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola.
Miongoni mwa mikutano ambayo Rais Kikwete ameiongoza katika Makao ya Umoja wa Mataifa (UN) mjini Geneva ni pamoja na yeye na wanajopo...