Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA YATOA UAMUZI RUFAA YA MKUU WA WILAYA YA CHEMBA

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga kupinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Ukonga iliyoamuru Odunga kutoa Sh. Milioni saba kama sehemu ya gharama ya matunzo ya kumsomesha mtoto wake.
Uamuzi huo umetolewa leo Aprili 29, 2020 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Glory Nkwera ambaye amekazia hukumu hiyo na kumtaka Odunga kutoa kiasi hicho cha fedha Kama ilivyoamuliwa na mahakama ya mwanzo ya Ukonga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CHADEMA Blog

Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko

Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344  yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Mkuu ataka uamuzi wa Mahakama uheshimiwe Kiteto

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza wote waliovamia eneo la Hifadhi ya Jamii ya Emborey ya Murtangos, kuondoka ili kuheshimu uamuzi wa mahakama ya rufani na akaagiza waliohusika na mauaji ya watu 15 kusakwa.

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MOSHI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akitoka kitengo cha Macho akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Giliard Masenga. Mganga mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Dkt Timoth Wonanji akichangia jambo wakati wa kikao cha mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga (kulia) alipokutana na viongozi wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC.
Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga (kulia) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayotajwa kuwa changamoto kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga afanya ziara hospitali ya rufaa ya KCMC

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipofanya kikao na viongozi wa hosptali ya rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga (kulia) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayotajwa kuwa changamoto kwa Mkuu wa wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipotembelea hosptalini hapo.   Baadhi ya wakuu wa idara waliongozana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipofanya ziara katika hospali hiyo. Baadhi ya wakuu wa itengo katika...

 

5 years ago

Michuzi

RUFAA YA DC CHEMBA, YATUPWA AAMRIWA KUTOA MATUNZO YA MTOTO

Na Karama Kenyunko, Michuzi TVMAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga kupinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Ukonga iliyoamuru Odunga kutoa Sh. Milioni saba kama sehemu ya gharama ya matunzo ya kumsomesha mtoto wake.
Uamuzi huo umetolewa leo Aprili 29, 2020 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Glory Nkwera ambaye amekazia hukumu hiyo na kumtaka Odunga kutoa kiasi hicho cha fedha Kama ilivyoamuliwa na...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHEMBA: TAARIFA MNAZOKUSANYA ZITAISADIA WILAYA YETU KUJIPANGA VYEMA

 Mkuu wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma Simon Odunga amepongeza kazi nzuri ya kutenga maeneo ya kuhesabia watu inayofanywa na wataalamu wa Mifumo ya Taarifa ya Kijiografia (GIS) kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Zanzibar (OCGS).Mkuu wa Wilaya huyo alitoa pongezi hizo ofisini kwake hivi karibuni wakati alipokuwa akizungumza na wataalamu hao wakiongozwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk. Albina Chuwa ambao walimtembelea.Mtakwimu Mkuu wa Serikali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uamuzi wasubiriwa kuhusu rufaa ya Lubanga ICC

Mahakama ya kimataifa ya ICC mjini Hague inatarajiwa kutangaza uamuzi wake leo kuhusu rufaa iliyowasilishwa na mtu wa kwanza kuhukumiwa na mahakama hio Thomas Lubanga

 

9 years ago

BBCSwahili

Bility akata rufaa uamuzi wa kumzuia kuwania Fifa

Mkuu wa shirikisho la soka la Liberia, Musa Bility, amekata rufaa uamuzi wa kuzuia kuwania uchaguzi wa urais Fifa.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.

 Mhe. John Lugalema  Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali mhe. Kahyoza alikuwaMsajili Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu  wa Mahakama  mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali  Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani