Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC CHEMBA: TAARIFA MNAZOKUSANYA ZITAISADIA WILAYA YETU KUJIPANGA VYEMA

 Mkuu wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma Simon Odunga amepongeza kazi nzuri ya kutenga maeneo ya kuhesabia watu inayofanywa na wataalamu wa Mifumo ya Taarifa ya Kijiografia (GIS) kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Zanzibar (OCGS).Mkuu wa Wilaya huyo alitoa pongezi hizo ofisini kwake hivi karibuni wakati alipokuwa akizungumza na wataalamu hao wakiongozwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk. Albina Chuwa ambao walimtembelea.Mtakwimu Mkuu wa Serikali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wilaya za Dodoma zaagizwa kujipanga kwa kilimo

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa a m e z i a g i z a wilaya kujipanga ili kuweza kufanikisha shughuli za kilimo na hata kuwahimiza wakulima kutumia vizuri mvua zinazonyesha.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YATOA UAMUZI RUFAA YA MKUU WA WILAYA YA CHEMBA

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga kupinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Ukonga iliyoamuru Odunga kutoa Sh. Milioni saba kama sehemu ya gharama ya matunzo ya kumsomesha mtoto wake.
Uamuzi huo umetolewa leo Aprili 29, 2020 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Glory Nkwera ambaye amekazia hukumu hiyo na kumtaka Odunga kutoa kiasi hicho cha fedha Kama ilivyoamuliwa na mahakama ya mwanzo ya Ukonga...

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo yakagua miradi ya vikundi vya Vijana vya Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma

Katibu wa Kikundi cha Muungano kilichopo kijiji cha Oloboloti kata ya Mrijo Halmashauri ya Chemba Mkoani Dodoma kinachojishughulisha na mradi wa kilimo cha nyanya aliyenyoosha mikono katikati Bw Juma Ally akitoa maelezo kwa Afisa wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa tatu kutoka kushoto Bi Amina Sanga katika ziara ya kukagua miradi ya Vijana, ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yanayotolewa na Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Mfuko wa Vijana. Katibu wa Kikundi cha Umoja...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: YETU MICROFINANCE PLC YATANGAZA MAUZO YA HISA

Yetu Microfinance PLC iliyoridhi biashara ya mikopo kwa wajasiliamali wadogo kutoka Youth Self Employment Foundation (YOSEFO) inayofuraha kuwatangazia kuwa imepata kibali kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana  cha kuuza hisa zenye thamani ya shilingi 12.5 bilioni kwa njia ya toleo.  Yetu Microfinance PLC inatoa huduma katika matawi yafuatayo; Mzizima and Mbagala ( Dar es Salaam), Ifakara and Mngeta (morogoro region), Zanzibar and Kilwa.


Jumla ya hisa baada ya toleo

36,972,249

...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KISOMO CHA AROBAINI YA NDUGU YETU MAREHEMU (BONDIA) IRAKI HUDU (RIP)

MAREHEMU IRAKI HUDU (RIP)
Ndugu wanajumuiya, mabibi na mabwana Familia ya marehemu (Bondia) Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19 Julai 2014 Shughuli hii itafanyika jioni wakati kufutari nyumbani kwa marehem huko Buguruni ,Rozana,Dar-es-salaam .
Shughuli hii ya arobaini kwa kuwa imengia katika mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhan,familia ya marehem imeamua kutimiza shughuli hii kwa kufuturisha na kisomo.
Kwa heshima na taazima...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA: MKUU wa Wilaya mstaafu, Margaret Kipaya afariki dunia

MKUU wa Wilaya (DC) mstaafu, Margaret Kipaya (75) (pichani) amefariki dunia kutokana na matatizo ya kisukari baada ya kuugua kwa miezi kadhaa.

Taarifa ya familia ya DC huyo ilisema Margaret alifariki dunia alfajiri ya kuamkia jana katika Hospitali ya Emilio Mzena jijini Dar es Salaam na anatarajiwa kuzikwa kesho nyumbani kwake Makongo Juu.

“Marehemu atazikwa keshokutwa (kesho) kwenye makaburi ya Makongo baada ya makubaliano ya familia kufikiwa,”ilisema sehemu ya taarifa hiyo.

Miaka ya mwisho...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani