TAARIFA KWA UMMA: YETU MICROFINANCE PLC YATANGAZA MAUZO YA HISA
Yetu Microfinance PLC iliyoridhi biashara ya mikopo kwa wajasiliamali wadogo kutoka Youth Self Employment Foundation (YOSEFO) inayofuraha kuwatangazia kuwa imepata kibali kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana cha kuuza hisa zenye thamani ya shilingi 12.5 bilioni kwa njia ya toleo. Yetu Microfinance PLC inatoa huduma katika matawi yafuatayo; Mzizima and Mbagala ( Dar es Salaam), Ifakara and Mngeta (morogoro region), Zanzibar and Kilwa.
Jumla ya hisa baada ya toleo 36,972,249 ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-E6cCEFVovag/VZRhGtMbBFI/AAAAAAAHmT8/B7xbX7cBr_c/s72-c/A4%2BTANGAZO%2B%25282%2529.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OivrPKoaBHo/XlTXnD2jigI/AAAAAAALfNY/RI7OP1CdFD8VPKh9k3AIPwDXocIej19fACLcBGAsYHQ/s72-c/YETU%2B1%2B%25281%2529.jpg)
Invest with Yetu Microfinance Bank Plc
![](https://1.bp.blogspot.com/-OivrPKoaBHo/XlTXnD2jigI/AAAAAAALfNY/RI7OP1CdFD8VPKh9k3AIPwDXocIej19fACLcBGAsYHQ/s640/YETU%2B1%2B%25281%2529.jpg)
Yetu Microfinance Bank Plc formerly known as YOSEFO is a Microfinance Bank in Tanzania with operations in 6 regions, namely Dar es Salaam, Morogoro, Pwani, Lindi, Mtwara and Tanga and the Island of Zanzibar. Before becoming a Microfinance Bank in 2017, it Yetu Microfinance Bank Plc has been a pioneer in Microfinance industry for the past 20 years with the flagship name of “YOSEFO” group lending being their major business.
10 years ago
MichuziBENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Mauzo ya hisa yayumba Uchina
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BIYYbwD8fT8/VhiUV65ruVI/AAAAAAAApvA/0FnoBGrSqrQ/s72-c/1.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Mauzo CRDB yashuka soko la hisa
BENKI ya CRDB imeshuka kwa asilimia moja katika mauzo kwenye soko la Hisa Agosti 7 hadi 12, mwaka huu. Akizungumza na waandishi habari jana Ofisa maendeleo na masoko wa Hisa...
10 years ago
Habarileo31 Jan
Takukuru, AG kuchunguza mauzo ya hisa za UDA
OFISI ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imepeleka suala la mchakato wa uuzaji wa hisa za Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuangalia mchakato mzima na mkanganyiko katika uuzwaji wa hisa hizo.
9 years ago
Dewji Blog07 Sep
Idadi ya mauzo ya soko la Hisa la Dar yashuka
Meneja Miradi na Biashara wa DSE, Patrick Mususa.
Na Ally Daud – MAELEZO, Dar Es Salaam
IDADI ya mauzo katika soko la hisa la Dar es salaam (DSE) imeshuka kwa asilimia 78 kutoka Tsh. Bilioni 29.8 hadi Tsh. Bilioni 6.4 kwa kipindi cha wiki moja iliyopita.
Aidha idadi ya hisa zilizouzwa katika soko hilo pia zimeshuka kwa asilimia 60 kutoka Tsh. Milioni11.2 hadi kufikia Tsh. Milioni 4.3 kutokana na makampuni mengi kutowekeza katika soko la hisa.
Akizungumza na waaandishi wa habari leo...
9 years ago
GPL05 Oct