Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Takukuru, AG kuchunguza mauzo ya hisa za UDA

OFISI ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imepeleka suala la mchakato wa uuzaji wa hisa za Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuangalia mchakato mzima na mkanganyiko katika uuzwaji wa hisa hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mauzo ya hisa yayumba Uchina

Mauzo ya hisa katika soko la Hong kong nchini Uchina yametatizika baada ya taarifa ya kutoweka kwa mmiliki wa kampuni kubwa ya uwekezaji

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mauzo CRDB yashuka soko la hisa

BENKI ya CRDB imeshuka kwa asilimia moja katika mauzo kwenye soko la Hisa Agosti 7 hadi 12, mwaka huu. Akizungumza na waandishi habari jana Ofisa  maendeleo na masoko wa Hisa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Idadi ya mauzo ya soko la Hisa la Dar yashuka

IMG_6739

Meneja Miradi na Biashara wa DSE, Patrick Mususa.

Na Ally Daud – MAELEZO, Dar Es Salaam

IDADI ya mauzo katika soko la hisa la Dar es salaam (DSE) imeshuka  kwa asilimia 78 kutoka Tsh. Bilioni 29.8 hadi Tsh. Bilioni 6.4 kwa kipindi cha wiki moja iliyopita.

Aidha idadi ya hisa zilizouzwa katika soko  hilo pia zimeshuka kwa asilimia 60 kutoka Tsh. Milioni11.2 hadi kufikia Tsh. Milioni 4.3 kutokana na makampuni mengi kutowekeza katika soko la hisa.

Akizungumza na waaandishi wa habari leo...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: YETU MICROFINANCE PLC YATANGAZA MAUZO YA HISA

Yetu Microfinance PLC iliyoridhi biashara ya mikopo kwa wajasiliamali wadogo kutoka Youth Self Employment Foundation (YOSEFO) inayofuraha kuwatangazia kuwa imepata kibali kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana  cha kuuza hisa zenye thamani ya shilingi 12.5 bilioni kwa njia ya toleo.  Yetu Microfinance PLC inatoa huduma katika matawi yafuatayo; Mzizima and Mbagala ( Dar es Salaam), Ifakara and Mngeta (morogoro region), Zanzibar and Kilwa.


Jumla ya hisa baada ya toleo

36,972,249

...

 

9 years ago

Mwananchi

Benki ya Walimu yachangia ongezeko la mauzo ya hisa DSE kufikia Sh1 trilioni

Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeongeza mauzo kutoka Sh383 bilioni mwaka 2014 hadi Sh1 trilioni moja kwa mwaka jana, huku Benki ya Walimu ikichangia ongezeko hilo.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA

Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Mkombozi,Bwa Masha J. Mshomba akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),Mwishoni mwa wiki jijini Dar, kuhusiana na kuwafahamisha Watanzania kuhusu mauzo ya awali ya hisa za benki  yao ya Mkombozi,ikiwemo pia na kuwaomba Watanzania washiriki katika ununuzi wa hisa za Benki hiyo ya Mkombozi,shoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Mkombozi  Bwan. Edwina Lupembe.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Takukuru haiwezi kuchunguza viongozi waliosafishwa

>Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, mjadala mkubwa katika jamii na vikao vya Bunge la Bajeti ulikuwa utata wa kauli zilizotolewa na Serikali pamoja na vyombo vinavyoshughulikia udhibiti na mapambano dhidi ya rushwa kuhusu watendaji waliosafishwa katika sakata la uchotwaji fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waja juu, wahoji uuzwaji wa hisa UDA

Uuzwaji wa hisa za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) jana uliibuka upya bungeni baada ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kuhoji sababu za Serikali kufuta kesi kuhusu utata wa mauzo hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani