Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhongo awashukia watendaji wabovu

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa watumishi wa Serikali ngazi za juu ni chanzo cha kusababisha wananchi kuichukia Serikali iliyopo madarakani na chama chake, kutokana na utendaji kazi mbovu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola awachongea watendaji wabovu

SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua madhubuti za kushughulikia tatizo la watendaji wabovu ndani ya halmashauri nchini, vinginevyo hata bajeti ya maendeleo ikiongezwa na kupelekwa kwa wakati haiwezi kuleta tija kwa wananchi....

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana azidi kulia na watendaji wabovu

Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameanza ziara mkoani Pwani kwa kuendelea kupokea shutuma dhidi ya viongozi wa Serikali ambao ni wazito katika kutatua kero za wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamanda Mpinga ‘awashukia’ watendaji

Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini imekiri kuwepo kwa watendaji wake wasiokuwa na uadilifu katika kazi zao, ambao waliruhusu gari la Kampuni ya Burudani kuondoka likiwa na abiria zaidi ya 93 bila ya kukaguliwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri awashukia watendaji mgodini

Waziri wa Nishati ya Madini, George Simbachawene amewataka wawakilishi wa Serikali kwenye Mgodi wa Tanzanite One kutekeleza wajibu wa kulinda masilahi ya Taifa.

 

9 years ago

Habarileo

Waziri awashukia watendaji Kinondoni, Ilala

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama ameacha taharuki kwa baadhi ya watendaji wa Manispaa za Kinondoni na Ilala jijini Dar es Salaam ya kuweza ‘kukosa kazi’ hasa kutokana na kushindwa kutekeleza maagizo waliyotakiwa, likiwemo la Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwapachu awashukia watendaji wa EAC nchini

 Aliyekuwa katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Bakari Mwapachu amesema viongozi wa Tanzania wamekuwa nyuma katika utekelezaji wa baadhi ya makubaliano muhimu ya jumuiya hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ole Sendeka awashukia Muhongo, Maswi

Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka amesema watu wote waliohusika katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow lazima wawajibishwe, huku akimtetea Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa kueleza kuwa hastahili kuwajibika kwa kuwa uwajibikaji wa sakata hilo siyo wa pamoja.

 

10 years ago

Vijimambo

LUSINDE AWASHUKIA WATENDAJI WASITEKELEZA MAAGIZO YA RAIS


 Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akielezea maendeleo ya ujenzi wa Shule ya msingi Lowasa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Muungano wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana(kushoto) akimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde namna ya kufatua matofali wakati wa kushiriki ujenzi wa shule ya msingi Lowasa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupampu maji ya kisima cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Watendaji wakuu nchini wamkaba koo Muhongo

Mwenyekiti wa Shirikisho la Watendaji Wakuu wa Makampuni nchini (CEO Roundtable -Tanzania), Ali Mufuruki amesema Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameonyesha kuwa hastahili kuongoza sekta muhimu kama hiyo kutokana na maneno yake ya kuwadhalilisha wazawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani