Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maonyesho ya kuunganisha wakulima na fursa za mitaji yafanyika wilayani Babati

unnamed (2)

Kulia Mkurugenzi wa TAHA Bi. Jacqueline Mkindi akiwa na Mgeni rasmi ndugu Athumani Karunde wakati wa kutembelea mabanda ya waoneshaji.

unnamed (3)

Mgeni rasmi akipata taarifa za namna TAHA inavyofanya kazi ya kuwahudumia wakulima na kuwaunganisha na fursa za mikopo ya kilimo biashara kutoka kwa maofisa wa TAHA.

unnamed (4)

Wakulima wakipokea maelezo ya namna ya kuunganishwa na fursa za Mikopo toka kwa maafisa wa TAHA.

unnamed (7)

Tom Olesika, Mkurugenzi wa Agri Pro Focus akinena jambo wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.

unnamed (5)

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA UFUTA WILAYANI BABATI WAPEWA MASHINE ZA KUKAMUA UFUTA

Ofisa Masoko wa Shirika la Farm Africa,Rahel Pazzia (kushoto) akikabidhi mashine ya kukamua ufuta kwa wana kikundi wa wakulima wa ufuta wa kikundi cha Faraja na Chemchem kwenye Kijiji cha Vilima Vitatu, Wilaya ni Babati Mkoani Manyara jana. Wanakikundi wa Sayuni na Mti wa maziwa, ambao ni wakulima wa zao la ufuta wa Kijiji cha Ngolley Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakiwa na mashine yao ya kukamua ufuta baada ya kukabidhiwa na Ofisa Masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI BABATI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia Wananchi,katika mkutano wa hadhara wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya ya Babati,mkoani Manyara.Mkutano huo umefanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati,ukihudhuriwa na maelfu ya Wananchi.Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,kwenye ziara ya siku saba mkoani Manyara,ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua...

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AWATAKA WAKULIMA KUJIUNGA CHAMA CHA USHIRIKA KUKUZA MITAJI YAO



Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amewataka wakulima kujiunga kwenye chama cha ushirika ili kuweza kukuza mitaji yao kwa kuitumia Benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB) iliyoanzishwa na serikali kwa lengo la kumwezesha mkulima.
Hayo alitasema katika uzinduzi wa shamba la mfano la upandaji wa miti lenye ukubwa wa hekali mbili uliofanywa na wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) katika kijiji cha Mikongo, Kata ya Kifanya wilayani Njombe ikiwa ni njia ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kilimo cha ufuta chawainua wakulima Babati

“Kabla ya kujishughulisha na kilimo cha ufuta, nilikuwa na hali ngumu kiuchumi, nilikuwa nalima karanga na pamba, ila sasa nalima ufuta na nimejenga nyumba bora ya kisasa, nafuga ng’ombe, kuku na kusomesha watoto.”

 

9 years ago

Mwananchi

Afisa wa Tanroad wilayani Babati jela kwa rushwa

Mahakama ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara leo imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mkuu wa manunuzi wa Tanroads, Raphael Chauma baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuomba rushwa.

 

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WILAYANI BABATI WAPEWA MAFUNZO YA TAHADHARI NA KINGA YA MOTO

Konstebo Omary Kinga wa kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Mkoani Manyara akimpa maelezo ya namna ya kuzima moto mmoja kati ya wanafunzi wa shule ya msingi Darajani iliyopo Wilayani Babati.
Ofisa habari na elimu ya umma wa ofisi ya Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoani Manyara, Koplo Chande Abdallah aliyesimama mbele ya wanafunzi wa shule ya msingi Darajali Wilayani Babati akitoa maelezo ya elimu ya zimamoto na uokoaji. Mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Darajali Wilayani Babati akijaribu...

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

GPL

SEMINA YA FURSA 2014 YAFANYIKA MJINI SINGIDA


 Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata Fursa, Jitathimini, Jiamini Jiongeze wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumza ndani  ukumbi wa hoteli ya KBH, ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.
Baadhi ya watoa mada mbalimbali katika semina hiyo wakiwa meza kuu.…

 

9 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA LEO WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA

 Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya leo,ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara. Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani