Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA FURSA YAFANYIKA MJINI SINGIDA

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SEMINA YA FURSA 2014 YAFANYIKA MJINI SINGIDA


 Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata Fursa, Jitathimini, Jiamini Jiongeze wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumza ndani  ukumbi wa hoteli ya KBH, ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.
Baadhi ya watoa mada mbalimbali katika semina hiyo wakiwa meza kuu.…

 

10 years ago

Vijimambo

Semina ya Fursa 2014 yafanyika Mjini Singida leo

 Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata Fursa,Jitathimini,Jiamini,Jiongeze wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumza ndani ya moja ya ukumbi wa hoteli ya KBH,ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.Semina ya Fursa 2014 inaandaliwa na Waandaaji wa Tamasha la Fiesta 2014 linalotarajiwa kufanyika leo usiku ndani ya uwanja wa Namfua mjini Singida.  Baadhi ya watoa mada mbalimbali katika semina hiyo wakiwa meza kuu Baadhi ya Vijana walioitumia Fursa ya kutengeneza fulana za tamasha la Fiesta baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA FURSA 2014 ,JITATHIMINI,JIAMINI,JIONGEZE YAFANYIKA MJINI SINGIDA LEO

 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akifafanua jambo kwa washiriki (hawapo pichani),wa semina ya Fursa iliyofanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa hoteli ya KBH,iliyoko nje kidogo ya mji wa Singida,ambapo watu mbalimbali wakiwemo wanavyuo walishiriki.  Mmoja wa washiriki wa Semina ya Fursa akiuliza swali kwa Meza kuu ya watoa mada kuhusiana na mradi wa ufugaji wa kuku. Mwakilishi kutoka Shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Ally Mkulemba...

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA KAMATA FURSA, JITATHIMINI, JIAMINI, JIONGEZE YAFANYIKA MJINI DODOMA

Mrisho Mpoto akimkabidhi kifaa cha kupimia magari mmoja wa wakazi wa Dodoma Beatrice Chilewa (kulia), muda mfupi baada ya kujishindia moja ya swali lililoulizwa na msemaji wa GS1, Pius Mikongoti, ambalo lilikuwa likimtaka ataje nchi tatu za Kusini mwa Jangwa la Sahara zinazotoa Barcode na namba za utambulisho wa nchi hizo, wa kwanza kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Josekazi Auto Garage ambaye ndiye mmiliki wa kifaa...

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA KAMATA FURSA,JITATHIMINI,JIAMINI,JIONGEZE YAFANYIKA MJINI DODOMA

Mrisho Mpoto akimkabidhi kifaa cha kupimia magari mmoja wa wakazi wa Dodoma Beatrice Chilewa (kulia), muda mfupi baada ya kujishindia moja ya swali lililoulizwa na msemaji wa GS1, Pius Mikongoti, ambalo lilikuwa likimtaka ataje nchi tatu za Kusini mwa Jangwa la Sahara zinazotoa Barcode na namba za utambulisho wa nchi hizo, wa kwanza kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Josekazi Auto Garage ambaye ndiye mmiliki wa kifaa hicho cha kupimia magari.
MKURUGENZI wa Vipindi na Uzalishaji...

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA FURSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Kushoto ni Dkt. Frank Forka ambaye ni mkurugenzi PGCEDC Africa Trade Office akielezea njia za kufuata kwa mwekezaji kutoka Tanzania anapokuja kutafuta au kufanya mazungumuzo na wawekezaji wa Kimarekani kwa ajili ya kuingia nao ubia kwa ajili ya kuwekeza Tanzania. Dkt. Frank Furka alisema jambo la kwanza muhimu ni kujifunza utamaduni wa wafanyabishara wa Kimarekani hasa inapokuja kwenye swala la muda, Mambo mengine ya kuzingatia ni ufafanuzi wa kina na uwazi wa fulsa unayoitafutia mwekezaji...

 

10 years ago

Michuzi

semina ya kikanda ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi yafanyika singida

  Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCCS),  Prof. Pius Yanda akifungua semina ya kikanda ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi inayoshirikisha wajumbe kutoka maeneo kame inayofanyika mjini Singida.  Mhadhiri na mtafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Emma Liwenga akitoa mada kuhusu maenedelo ya mradi wa mazingira kwenye maeneo kame  unaonedeshwa na kituo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF FURSA SEMINA YASHAMIRI SIKU YA IDD EL HAJJ MJINI DODOMA

Ikiwa ni muendelezo wa Semina za Fursa zinazoendelea katika mikoa mbalimbali, licha ya kuwa ni siku ya Sikukuu ya Idd El Hajj tarehe 05/10/2014, Semina ya Fursa yashamiri mjini Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.


Umati huo ulivutiwa sana na huduma na mafao yatolewayo na NSSF kama vile Matibabu bure kwa mwanachama na wategemezi wake na mikopo kupitia Saccos.


NSSF iliwasihi watu wajiunge na mfuko huu ili waweze jipatia Fursa za kuboresha maisha yao.


Semina ya Fursa Dodoma ilirushwa Live na...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAANDAA SEMINA YA DARAJA LA MAFANIKIO KWA VIJANA MJINI MTWARA

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Fatma Salum Ally akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika kwenye Ukumbi VETA mjini Mtwara jana. Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi akizungumza wakati wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika kwenye Ukumbi VETA mjini Mtwara jana.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani