Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke aliyetapeli kwa Airtel Money jela miezi 6

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa hapa kwenda jela miezi sita, kwa kosa la utapeli wa fedha kwa njia ya mtandao wa Airtel Money kwa mawakala mbalimbali wilayani humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA GAWIO LA TSHS BILIONI 5.3 KWA WATEJA WA AIRTEL MONEY


Meneja biashara wa kitengo cha  Airtel Money,  Bwn Asupya Naligingwa(kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza Airtelkugawa gawio la faida la zaidi ya  shilingi billion 5 kwa wateja namawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima.  Pichanini Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Bi Jane Matinde
KAMPUNI ya simu za mkononiya Airtel leo imetangaza kugawa zaidi ya shilingi bilioni 5 kwa watejana mawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima
Uamuzi huo wa...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MIKOPO KWA MAWAKALA WA AIRTEL MONEY‏

Afisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty (kushoto), Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi (kulia) na Mkurugenzi wa Afb Tanzania, Wayne Stocks wakionyesha bango kama ishara ya uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala wa Airtel Money ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YATOA GAWIO LA TSHS BILIONI 5.3 KWA WATEJA WA AIRTEL MONEY‏

Meneja biashara wa kitengo cha Airtel Money, Bwn Asupya Naligingwa (kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza Airtel kugawa gawio la faida la zaidi ya shilingi billion 5 kwa wateja na mawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima. Pichani ni Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Bi Jane Matinde. Dar es Salaam, Jumatano 30 Septemba 2015, Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza...

 

5 years ago

Michuzi

Airtel yatoa Tzs 2.6 bilioni kama faida kwa wateja wa Airtel Money

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel,leo imetangaza kugawa faida ya jumla ya Tsh2.6 bilioni kwa wateja na mawakala wake wote wanaotumia huduma ya Airtel Money kwa kipindi cha kati ya April na Septemba 2019.

Faida itokanayo na Airtel Money ni fedha ambayo Airtel imekuwa ikizirudisha kwa wateja wake waliotumia Airtel Money kwa kila robo ya mwaka kulingana na kiwango ambacho kipo kwenye akaunti zao za Airtel Money kila siku. Kiwango hicho cha faida kwa kila salio la mteja kinatolewa pia...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA MIKOPO KWA MAWAKALA WA AIRTEL MONEY

 Afisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty(kushoto), Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi(kulia) na Mkurugenzi wa Afb Tanzania, Wayne Stocks  wakionyesha bangokama ishara ya uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala waAirtel Money ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika haflailiyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallyaakizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Miezi 6 jela kwa wapenzi wa jinsia moja

Watu 7 wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela nchini Senegal kwa kuenda kinyume na madili

 

11 years ago

Mwananchi

Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza

Mahakama ya Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu imemhukumu Bahati Lukas (25) kifungo cha nje miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa jeneza.

 

5 years ago

Michuzi

AFUNGWA MIEZI TANO JELA BABATI KWA KUPOKEA RUSHWA

MKAZI wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Idd Sulle amehukumiwa kwenda jela miezi mitano kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 120,000.
Hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Babati, Victor Kimaro alitoa hukumu hiyo jana mjini Babati kwenye mahakama hiyo. 
Hakimu huyo alisema mahakama hiyo inamtia hatiani Sulle kwenye kesi hiyo ya jinai namba CC 92/2020 baada ya kuridhika na ushahidi uliowasilishwa na wakili wa Takukuru Evelyine Onditi. 
Hakimu Kimaro alisema hata hivyo, washtakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tiketi za Precision sasa kwa Airtel Money

 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeanzisha ushirikiano na kampuni ya Ndege ya Precision utakaowawezesha wateja wake kununua tiketi za ndege kupitia huduma ya Airtel Money

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani