AIRTEL YATOA MIKOPO KWA MAWAKALA WA AIRTEL MONEY

Afisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty(kushoto), Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi(kulia) na Mkurugenzi wa Afb Tanzania, Wayne Stocks wakionyesha bangokama ishara ya uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala waAirtel Money ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika haflailiyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallyaakizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
AIRTEL YATOA MIKOPO KWA MAWAKALA WA AIRTEL MONEY
10 years ago
Michuzi
AIRTEL YATOA GAWIO LA TSHS BILIONI 5.3 KWA WATEJA WA AIRTEL MONEY

Meneja biashara wa kitengo cha Airtel Money, Bwn Asupya Naligingwa(kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza Airtelkugawa gawio la faida la zaidi ya shilingi billion 5 kwa wateja namawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima. Pichanini Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Bi Jane Matinde
KAMPUNI ya simu za mkononiya Airtel leo imetangaza kugawa zaidi ya shilingi bilioni 5 kwa watejana mawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima
Uamuzi huo wa...
10 years ago
GPL
AIRTEL YATOA GAWIO LA TSHS BILIONI 5.3 KWA WATEJA WA AIRTEL MONEY
5 years ago
Michuzi
Airtel yatoa Tzs 2.6 bilioni kama faida kwa wateja wa Airtel Money
Faida itokanayo na Airtel Money ni fedha ambayo Airtel imekuwa ikizirudisha kwa wateja wake waliotumia Airtel Money kwa kila robo ya mwaka kulingana na kiwango ambacho kipo kwenye akaunti zao za Airtel Money kila siku. Kiwango hicho cha faida kwa kila salio la mteja kinatolewa pia...
11 years ago
GPL
WATEJA WA AIRTEL KULIPA MIKOPO YA MASOMO KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
11 years ago
Michuzi.jpg)
Wateja wa Airtel kulipa mikopo ya masomo kupitia huduma ya Airtel Money
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
MAWAKALA WA AIRTEL MONEY MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA MAFUNZO

elimu kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam jana.

Meneja Mauzo wa Airtel Tanzania Kanda ya Ilala, James Moilo akitoaelimu kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam jana.

10 years ago
GPL
MAWAKALA WA AIRTEL MONEY MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA MAFUNZO
10 years ago
Michuzi
AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA
