Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Repoa: Takukuru ilikithiri kwa kupokea rushwa 2014

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetajwa katika utafiti kuwa ni kati ya taasisi zilizoshika nafasi za juu kwa kupokea rushwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU DODOMA YAWAONYA WATAKAOTOA NA KUPOKEA RUSHWA UCHAGUZI CHAMA CHA WALIMU

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthnes Kibwengo akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma.
Charles James, Michuzi TVZIKIWA zimebaki siku mbili kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Viongozi wa kitaifa wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Dodoma imetoa onyo kwa wale wote watakaotoa na kupokea Rushwa.
Uchaguzi huo wa CWT utafanyika Juni 5 jijini Dodoma ambapo utachagua Rais, Makamu wa Rais,...

 

10 years ago

Mwananchi

DC awasimamisha kazi mgambo kwa kupokea rushwa

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, Amani Mwenegoha amewasimamisha kazi mgambo wa Kata ya Igulwa baada ya kutuhumiwa kupokea rushwa na kuwaachia wahalifu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu ahojiwa na Takukuru kwa rushwa

>Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Singida, inamhoji Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi na Sheria ya Kupambana na Rushwa namba 11 ya mwaka 2007.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge: Sijawahi kupokea rushwa kutoka kwa Liana

MBUNGE wa Bahi, Omary Badwell (CCM) ameieleza Mahakama kuwa hajawahi kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, Sipora Liana.

 

5 years ago

Michuzi

AFUNGWA MIEZI TANO JELA BABATI KWA KUPOKEA RUSHWA

MKAZI wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Idd Sulle amehukumiwa kwenda jela miezi mitano kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 120,000.
Hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Babati, Victor Kimaro alitoa hukumu hiyo jana mjini Babati kwenye mahakama hiyo. 
Hakimu huyo alisema mahakama hiyo inamtia hatiani Sulle kwenye kesi hiyo ya jinai namba CC 92/2020 baada ya kuridhika na ushahidi uliowasilishwa na wakili wa Takukuru Evelyine Onditi. 
Hakimu Kimaro alisema hata hivyo, washtakiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemnasa Hakimu mmoja wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh500,000.

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kutoa elimu kwa jamii kuepuka rushwa

Kurugenzi wa TAKUKURU Dr Edward HoseahTAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema ina mpango mkakati unaowahusisha wadau mbalimbali wa namna ya kuielimisha jamii ielewe juu ya madhara ya rushwa ili kwa pamoja, iweze kusaidia katika mapambano ya kuitokomeza.

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAWASHIKILIA MAAFISA WATATU WA TRA KWA RUSHWA

TAKUKURU MANYARA YAWASHIKILIA MAAFISA WATATU WA TRA KWA RUSHWA 
Na mwandishi wetu, Babati
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara, inawashikilia maafisa watatu wa Mamlaka ya mapato nchini (TRA) kwa kuomba na kupokea rushwa ya shilingi milioni moja kwa mfanyabiashara wa eneo hilo ili wasimuongezee makadirio ya kodi katika biashara yake ya duka la rejareja. 
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu aliwataja maafisa hao wa TRA wanaowashikilia ni Eva...

 

11 years ago

Mwananchi

Repoa: Wananchi hupata taarifa za Ukimwi zaidi kuliko rushwa

Ripoti mpya ya utafiti iliyotolewa hivi karibuni inaeleza kuwa wananchi wanapata zaidi taarifa za ugonjwa wa Ukimwi kuliko taarifa za matumizi ya fedha za Serikali na namna ya kupambana na rushwa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani