Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAKUKURU MANYARA YAWASHIKILIA MAAFISA WATATU WA TRA KWA RUSHWA

TAKUKURU MANYARA YAWASHIKILIA MAAFISA WATATU WA TRA KWA RUSHWA 
Na mwandishi wetu, Babati
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara, inawashikilia maafisa watatu wa Mamlaka ya mapato nchini (TRA) kwa kuomba na kupokea rushwa ya shilingi milioni moja kwa mfanyabiashara wa eneo hilo ili wasimuongezee makadirio ya kodi katika biashara yake ya duka la rejareja. 
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu aliwataja maafisa hao wa TRA wanaowashikilia ni Eva...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAWASHIKILIA MWENYEKITI NA KATIBU WA CCM BABATI


Na Mwandishi wetu, Babati 
TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) Mkoani Manyara inamshikilia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Maisaka kati Bakari Khatibu na katibu wa Tawi hilo Juma Swalehe wote wakazi wa wilaya ya Babati kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya sh. 200,000 kutoka kwa Mwinjilist wa kanisa la kinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) mtaa wa Komoto.
Mkuu wa Takukuru Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu aliyasema hayo mjini Babati wakati...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI MWENYEKITI WA SOKO KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara, imemfikisha kwenye Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko la Mirerani, Yesaya Songelaeli Yindi kwa makosa ya rushwa. 
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu, Juni 9 mwaka huu, Songelaeli ameshtakiwa kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yefred...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAWATIA MBARONI MAOFISA WAWILI WA TRA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini, (TAKUKURU) Mkoani Manyara, inawashikilia maofisa wawili wa mamlaka ya mapato nchini (TRA) kwa kudaiwa kupokea rushwa ya shilingi milioni 10.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu (Pichani) akizungumza mjini Babati alisema maofisa hao TRA wanadaiwa kufanya kosa hilo kinyume cha kifungu cha 15 cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007. 
Makungu aliwataja majina yao maofisa hao wa TRA wanaodaiwa kupokea rushwa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu ahojiwa na Takukuru kwa rushwa

>Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Singida, inamhoji Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi na Sheria ya Kupambana na Rushwa namba 11 ya mwaka 2007.

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kutoa elimu kwa jamii kuepuka rushwa

Kurugenzi wa TAKUKURU Dr Edward HoseahTAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema ina mpango mkakati unaowahusisha wadau mbalimbali wa namna ya kuielimisha jamii ielewe juu ya madhara ya rushwa ili kwa pamoja, iweze kusaidia katika mapambano ya kuitokomeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Repoa: Takukuru ilikithiri kwa kupokea rushwa 2014

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetajwa katika utafiti kuwa ni kati ya taasisi zilizoshika nafasi za juu kwa kupokea rushwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemnasa Hakimu mmoja wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh500,000.

 

10 years ago

Michuzi

Uingereza yashirikiana na TAKUKURU kutoa mafunzo kwa maafisa toka ofisi 27 za mikoa

Wachunguzi toka ofisi 27 za Mikoa za TAKUKURU wanapata ujuzi kupitia mafunzo yenye kugusa masuala ya utakatishaji wa fedha, kupata taarifa na mlolongo wa uhalifu kwa kutumia sheria za sasa za Tanzania. 
Mafunzo haya yamefadhiliwa na DFID kama sehemu ya Mpango wa Kuimarisha Mapambano dhidi ya Rushwa Tanzania (STACA) na inasimamiwa na Afisa wa Uingereza toka kitengo cha NCA, Bwana Phill Jones. Wachunguzi toka ofisi 27 za Mikoa za TAKUKURU wakimsikiliza kwa makini, Afisa wa Uingereza toka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani