Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Nipeni madaraka niwaonyeshe kazi

“Nipeni madaraka tarehe 25 niwaonyeshe kazi,” hayo ni maneno mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa alipokuwa akizungumza na wananchi wa Ngaramtoni waliokuwa wakipiga kelele kumweleza matatizo yao wakati akihutubia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Loga: Nipeni Mbeya City muone kazi

Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia, amesema amezisikia taarifa za kuyumba kwa Mbeya City na kuwaambia viongozi wa klabu hiyo, wampe nafasi ya kuinoa waone kazi.
Logarusic aliyeinoa Simba kwa nusu msimu, amesema iwapo atakipata kikosi cha Mbeya City, chenye wachezaji anaowajua vizuri, basi kila kitu kitabadilika....

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nipeni kazi nizibe mirija ya ufisadi

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, amesema Tanzania ni tajiri wa rasilimali lakini ipo mirija michache inayotiririsha ulaji kwa mafisadi ambayo anataka kuiziba.

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta: Nipeni miaka mitano

Mheshimiwa Samweli Sitta akiwa na viongozi wenzake wa CCM alipokuwa akitangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.NA WAANDISHI WETU, TABORA
IDADI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, imeendelea kuongezeka baada ya Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta naye kutangaza jana.
Waziri Sitta, alitangaza nia yake katika Ikulu ndogo ya Itetemea mkoani Tabora, huku akiomba chama chake kimpitishe na Watanzania kumpa miaka mitano tu ya kufanya mageuzi makubwa ya kiutawala.
“Tofauti na wenzangu wanaotaka urais kwa miaka 10, mimi nataka kutumikia nafasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi: Nipeni Simba jamani

>Uwanja wa Bora uliopo Kijitonyama jana ‘ulifurika’ mashabiki wa Yanga waliokuwa na shauku ya kumwona mshambuliaji wao mpya Emmanuel Okwi akifanya mazoezi na timu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

‘Nipeni kura nilete maendeleo Arusha’

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philemon Mollel, amewataka wananchi wa jimbo hilo kumchagua ili kuleta maendeleo.

 

9 years ago

Habarileo

‘Nipeni Ubungo nitatue kero ya maji’

MGOMBEA wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha UPDP, Naomi Mabrouk amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wao ili aweze kutatua kero mbalimbali ikiwemo ya muda mrefu ya maji.

 

11 years ago

Habarileo

Nchemba- Nipeni taarifa za wakwepa kodi

NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amewaomba wadau katika Sekta ya Usafirishaji na wabunge, kutoa taarifa kuhusu wamiliki wa malori wanaokwepa kodi, ili awachukulie hatua.

 

10 years ago

Mwananchi

Itakuwa kazi kumzuia Lowassa kuingia ikulu

Makala iliyokuwa na kichwa cha habari “Kwa nini Lowassa anaweza kuwa rais” iliwakuna wengi, lakini kama ilivyotarajiwa iliwaudhi wengine na walionyesha hasira zao kwa kutuma ujumbe mchafu.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema, wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 8, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, ARUSHA
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubiwa wananchi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani