Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Nipeni kura nilete maendeleo Arusha’

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philemon Mollel, amewataka wananchi wa jimbo hilo kumchagua ili kuleta maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mgimwa aomba kura afanye maendeleo

MGOMBEA ubunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa (CCM), amewaomba wakazi wa eneo hilo kumpa kura nyingi za ndiyo kwa sababu ana uwezo wa kuyaendeleza mazuri yaliyoachwa na aliyekuwa mbunge kabla yake, marehemu Dk....

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA KIMATAIFA WA TAASISI YA USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI TANZANIA (CILT) KUFANYIKA MACHI, 3 JIJINI ARUSHA‏

Balozi wa Heshima wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafirishaji na Uchukuzi Tanzania (CILT), Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia), akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya kukusanya fedha kwa ajili ya mkutano wa kimataifa utakaofanyika jijini Arusha kuanzia Machi 4 hadi 5 ulioandaliwa na taasisi hiyo kwa ajili ya kuwajengea weredi wadau wa usafirishaji kutoka nchi mbalimbali duniani.Mwenyekiti wa CILT, George Makuke (kushoto), akizungumza katika mkutano huo....

 

9 years ago

Michuzi

NICHAGUENI KESHO KUTWA KWA KURA NYINGI NIWALETEE MAENDELEO JIMBO LA MBAGALA


Soud Rajab.Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajab (pichani kushoto), amewaomba wananchi wa Jimbo la Mbagala wamchague ili aweze kuwaletea maendeleo waliyoyakosa kwa muda mrefu.


Rajab alitoa maombi hayo kwa wananchi hao Dar es Salaam jana wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni wa lala salama kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika nchi nzima kesho.


"Ndugu wananchi nawaombeni sana msifanye makosa ambayo mtakuja kuyajutia...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa ratiba rasmi ya kura za maoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa ratiba rasmi ya kuanza kwa zoezi la kupiga kura za maoni kuwachagua wana CMD walioomba kuteuliwa kuwania ubunge, nchi nzima.
Ifuatayo ni ratiba za kura hizo katika majimbo ya Tanzania Bara








 

11 years ago

Mwananchi

Okwi: Nipeni Simba jamani

>Uwanja wa Bora uliopo Kijitonyama jana ‘ulifurika’ mashabiki wa Yanga waliokuwa na shauku ya kumwona mshambuliaji wao mpya Emmanuel Okwi akifanya mazoezi na timu hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta: Nipeni miaka mitano

Mheshimiwa Samweli Sitta akiwa na viongozi wenzake wa CCM alipokuwa akitangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.NA WAANDISHI WETU, TABORA
IDADI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, imeendelea kuongezeka baada ya Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta naye kutangaza jana.
Waziri Sitta, alitangaza nia yake katika Ikulu ndogo ya Itetemea mkoani Tabora, huku akiomba chama chake kimpitishe na Watanzania kumpa miaka mitano tu ya kufanya mageuzi makubwa ya kiutawala.
“Tofauti na wenzangu wanaotaka urais kwa miaka 10, mimi nataka kutumikia nafasi...

 

11 years ago

Habarileo

Nchemba- Nipeni taarifa za wakwepa kodi

NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amewaomba wadau katika Sekta ya Usafirishaji na wabunge, kutoa taarifa kuhusu wamiliki wa malori wanaokwepa kodi, ili awachukulie hatua.

 

9 years ago

Habarileo

‘Nipeni Ubungo nitatue kero ya maji’

MGOMBEA wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha UPDP, Naomi Mabrouk amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wao ili aweze kutatua kero mbalimbali ikiwemo ya muda mrefu ya maji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani