NICHAGUENI KESHO KUTWA KWA KURA NYINGI NIWALETEE MAENDELEO JIMBO LA MBAGALA
Soud Rajab.Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajab (pichani kushoto), amewaomba wananchi wa Jimbo la Mbagala wamchague ili aweze kuwaletea maendeleo waliyoyakosa kwa muda mrefu.
Rajab alitoa maombi hayo kwa wananchi hao Dar es Salaam jana wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni wa lala salama kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika nchi nzima kesho.
"Ndugu wananchi nawaombeni sana msifanye makosa ambayo mtakuja kuyajutia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Gekul : Nichagueni ili nisimamie maendeleo
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Rock City Marathon 2014 kuzinduliwa kesho kutwa
Na Mwandishi Wetu
UZINDUZI wa msimu wa sita wa mbio za Rock City Marathon 2014 zilizoanza mwaka 2009, zikiwa na lengo la kukuza Utalii wa Ndani kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya New Afrika, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa...
9 years ago
Mtanzania04 Nov
Papa Wemba kunogesha Karibu Festival kesho kutwa
NA FESTO POLEA
TAMASHA la Karibu Music Festival 2015, litazinduliwa Novemba 6 hadi 8 mwaka huu katika viwanja vya Mwanakalenge, Bagamoyo, huku mwanamuziki kutoka Congo, Papa Wemba, akitarajiwa kulinogesha.
Katika Tamasha hilo lenye lengo la kukuza muziki wa Afrika, wasanii wa bongo fleva, wasanii na vikundi vya ngoma na nyimbo za asili watatumbuiza, lakini pia warsha za mafunzo mbalimbali kuhusu sanaa zitaendeshwa.
Baadhi ya wasanii wanaotarajiwa kutoa burudani ya kutosha katika siku tatu za...
10 years ago
MichuziKIVUKO CHA MV. KIGAMBONI KUANZA KAZI KESHO KUTWA
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AAHIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO
Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za huduma...
9 years ago
VijimamboMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AHAIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO
Na Dotto Mwaibale
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za huduma...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-z5_qDF2YbFs/Vb-To7WPwYI/AAAAAAABTFM/9xAnsWBj2o0/s72-c/jerry.jpg)
wapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga
![](http://4.bp.blogspot.com/-z5_qDF2YbFs/Vb-To7WPwYI/AAAAAAABTFM/9xAnsWBj2o0/s640/jerry.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-u5eLO9o9QZQ/Vb-To2dTbaI/AAAAAAABTFQ/Ym8hr02Xc08/s640/maxresdefault.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-acutzY_zQNk/U0BVg7cjE1I/AAAAAAAFY0E/ByY4ZD9TjNs/s72-c/01.jpg)
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura
![](http://1.bp.blogspot.com/-acutzY_zQNk/U0BVg7cjE1I/AAAAAAAFY0E/ByY4ZD9TjNs/s1600/01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-7HCd_PviCZk/U0BVixbE10I/AAAAAAAFY0M/QjkmDYMw94U/s1600/02.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tH0GFV2LoVI/U1Ttc_y4QmI/AAAAAAAFcJ0/hVrptSoOfo8/s72-c/IMG-20140421-WA0007.jpg)
Maendeleo ya Msiba wa Mhe. Moshi Mussa Chang'a,nyumbani kwa marehemu Mbagala jijini Dar leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-tH0GFV2LoVI/U1Ttc_y4QmI/AAAAAAAFcJ0/hVrptSoOfo8/s1600/IMG-20140421-WA0007.jpg)
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu,eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo taratibu zote zinafanyika hapo.
Taarifa za awali zinaeleza kwamba Shughuli ya kuaga...