Gekul : Nichagueni ili nisimamie maendeleo
Mgombea ubunge Babati Mjini kwa tiketi ya Chadema, Pauline Gekul amesema ataboresha huduma za jamii na kuwatetea wananchi katika vyombo vya uamuzi, pindi atakapopewa ridhaa ya kuwaongoza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNICHAGUENI KESHO KUTWA KWA KURA NYINGI NIWALETEE MAENDELEO JIMBO LA MBAGALA
Rajab alitoa maombi hayo kwa wananchi hao Dar es Salaam jana wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni wa lala salama kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika nchi nzima kesho.
"Ndugu wananchi nawaombeni sana msifanye makosa ambayo mtakuja kuyajutia...
9 years ago
StarTV04 Jan
Dk. Shein awataka watendaji kuwajibika ili Kuendana na Kasi Ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein amewataka wasimamizi wa sheria na wote waliopewa dhamana ya utekelezaji wa majukumu ya Umma wawajibike katika dhamana walizopewa ili kwenda na kasi ya maendeleo yalioasisiwa Tangu yalipofanyika mapinduzi ya Zanzibar January 1964.
Amesema maeneo mengi ya kiutendaji huzorota kwa kutokuwajibika ipasavyo kwa baadhi ya watendaji ambao bado wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea ambapo muda huo kwa sasa haupo na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6RQhD4bnHKs/Xtn1C72X9qI/AAAAAAALsq8/TVLQcoRDBzI5M1h01TT7w5hrLD4yRw5hwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-04%2Bat%2B10.34.58%2BPM.jpeg)
Tufanye mambo gani ili tuweze kunufaika na maendeleo ya kiteknolojia?
![](https://1.bp.blogspot.com/-6RQhD4bnHKs/Xtn1C72X9qI/AAAAAAALsq8/TVLQcoRDBzI5M1h01TT7w5hrLD4yRw5hwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-04%2Bat%2B10.34.58%2BPM.jpeg)
Hakuna shaka yoyote kwamba teknolojia imebadili namna na kasi ya mawasiliano yetu ambayo yamepitia hatua mbalimbali kuanzia barua posta, simu za mezani na sasa kidijitali.
Katika miezi ya karibuni gonjwa la Corona limewavuta watu wengi zaidi kutumia mbinu za kidijitali si tu kuwasiliana bali hata kwenye kufanya malipo na kupata burudani.
Tukitazama mbele yapo mambo...
9 years ago
StarTV23 Nov
Muinjilisti Dk. Falk ataka wakazi Morogoro kuwajibika ili kujiletea maendeleo
Wakazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro wametakiwa kufanya kazi kwa bidii katika kujiletea maendeleo kwa kutumia njia zinazompendeza mwenyezi Mungu na kuepuka njia za mkato ambazo zinaweza kuwaingiza kwenye matatizo na kuhatarisha maisha yao.
Akihutubia katika mkutano wa injili kwa wakazi hao, Mwinjilisti wa Kimataifa kutoka Arusha Dokta Egon Falk amesema maendeleo hayaletwi kwa maombi pekee bali yanaletwa na kila mmoja katika jamii kufanya kazi kwa bidii itakayomuingizia kipato...
11 years ago
Dewji Blog27 May
MO ataka madhebebu dini kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo endelevu
Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.
Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Namna unavyoweza kuimba sauti ya ndani yako ili kupata maendeleo
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_05751.jpg)
MO ATAKA MADHEBEBU YA DINI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KULETA MAENDELEO ENDELEVU
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Serikali kuzindua mkakati wa kitaifa wa maendeleo ya stadi kazi ili kusaidia kuongeza ujuzi!
Mkurugenzi Msaidizi Toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi Dkt. Jonathan Mbwambo akifafanua kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mpango wa Serikali wa kuendeleza stadi za kazi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuongeza tija katika sekta zote nchini,kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Maelezo Bi. Zamaradi Kawawa.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza kuanzisha mkakatia wa...
9 years ago
StarTV15 Dec
CCM chakabidhi usafiri kwa watendaji Njombe ili kuleta ufanisi katika maendeleo
Katika kuhakikisha shughuli za Maendeleo zinafanyika kwa kufuata kauli mbiu ya Rais John Pombe Magufuli, Chama cha Mapinduzi CCM, kimekabidhi vifaa vya usafiri kwa watendaji wake wa jimbo la Njombe vikiwemo .
Watendaji hao wakiwemo makatibu kata na viongozi wa matawi wamepewa pikipiki na baiskeli zenye thamani ya shilingi milioni 45 msaada ambao umetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa na Mbunge wa Jimbo la Makambako Deo Sanga kutimiza ahadi aliyoitoa kabla ya uchaguzi.
Akikabidhi vifaa hivyo...