Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuzindua mkakati wa kitaifa wa maendeleo ya stadi kazi ili kusaidia kuongeza ujuzi!

1

Mkurugenzi  Msaidizi Toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi Dkt. Jonathan Mbwambo akifafanua kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mpango wa Serikali wa kuendeleza stadi za kazi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuongeza tija katika sekta zote nchini,kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Maelezo Bi. Zamaradi Kawawa.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza kuanzisha mkakatia wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tuufanyie kazi mpango wa EPZ ili kuongeza ajira

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana. Maana yake ni kwamba hali ya uchumi nchini haikui vizuri, hivyo inashindwa kusaidia wengi kupata ajira.

 

5 years ago

Michuzi

Ofisi za ukaguzi kujengwa nchi nzima ili kuongeza uhuru wa kufanya kazi


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nchini Bw,Charles E Kichere,amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa ofisi ya Taifa ya ukaguzi mkoa wa Njombe inayoendelea kujengwa mkoani humo,huku akiagiza kukamilishwa kwa ofisi hizo kabla ya mwezi wa sita ili ziweze kutumika.

Akiwa katika eneo la jengo za ofisi hizo lililopo Lunyanywi halmashauri ya mji wa Njombe,Kichere amesema anahitaji majengo hayo kukamilika kabla ya mwezi wa sita ili watumishi wapate...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII

Na Mwandishi Wetu Arusha

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.

Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Serikali kuongeza uwazi kazi za NBS

SERIKALI imesema itaendelea kuongeza uwazi katika matumizi ya takwimu zinazokusanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kukidhi vigezo na malengo ya mfumo mpya uliowekwa na Umoja wa Mataifa (UN) wa mwaka 2008 wa upataji wa takwimu za Pato la Taifa.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya kimataifa ya siku tano ya watakwimu kutoka nchi za Afrika zinazozungumza Kiingereza, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Profesa Adolf Nkenda, alisema Tanzania inaendelea kukusanya takwimu...

 

9 years ago

Michuzi

WAWEZESHAJI WA KITAIFA WA STADI ZA MAISHA KANDA YA ZIWA WAPIGWA MSASA

 Afisa Vijana Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo Bw. Godfrey Massawe akizungumza na vijana (hawapo pichani) wakati wa Mafunzo ya Wawezeshaji wa Kitaifa wa Stadi za Maisha  kwa vijana wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa leo Jijini Mwanza. Mafunzo haya yamehusisha vijana kutoka Mkoa wa Simiyu, Mara, Kagera, Shinyanga na Mwanza. Wawezeshaji wa Kitaifa wa masuala ya Stadi za Maisha kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakisikiliza kwa makini mada iliyokua ikiendelea wakati wa Mafunzo ya...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Aendelea na Kampeni, asema Ataendeleza Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Kuleta Maendeleo

Wanachama wa CCM Wakimshangilia Mgombea wao wa Urais Dk Shein, wakati akiwasili katika viwanja vya mpira Konde kwa ajili ya mkutano wake wa Tatu wa Kampeni zake kisiwani Pemba.Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakati wa mkutano wake wa Kampeni na kuwataka kuichagua CCM kuzi kuwaletea maendeleo katika miradi mbalimbali na kuendelea kuongoza Zanzibarb kwa misingi ya Sheria na haki kwa maendeleo ya Wazanzibar.Mgombea...

 

11 years ago

Dewji Blog

MO ataka madhebebu dini kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo endelevu

DSC_0575

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.

Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa...

 

11 years ago

GPL

MO ATAKA MADHEBEBU YA DINI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KULETA MAENDELEO ENDELEVU‏

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake. Mbunge MO akijumuika na waumini wa Kanisa la FPCT kutoa burudani wakati wa ziara ya MO. Na Nathaniel Limu, Singida MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani