WAWEZESHAJI WA KITAIFA WA STADI ZA MAISHA KANDA YA ZIWA WAPIGWA MSASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-6r66RCvRq8U/Ve2V6EvG71I/AAAAAAAH3GE/f8BEgZ0Bh9k/s72-c/Pix%2B1.jpg)
Afisa Vijana Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo Bw. Godfrey Massawe akizungumza na vijana (hawapo pichani) wakati wa Mafunzo ya Wawezeshaji wa Kitaifa wa Stadi za Maisha kwa vijana wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa leo Jijini Mwanza. Mafunzo haya yamehusisha vijana kutoka Mkoa wa Simiyu, Mara, Kagera, Shinyanga na Mwanza.
Wawezeshaji wa Kitaifa wa masuala ya Stadi za Maisha kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakisikiliza kwa makini mada iliyokua ikiendelea wakati wa Mafunzo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TAMWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA
Wanahabari watapata fursa ya Kujadili yale yanayoendelea katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Octoba 25 mwaka huu na nanma Vyombo vya Habari/ Waandishi wa Habari wanavyoripoti habari za Uchaguzi Mkuu kwa kuzingatia...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8w9FUC6A5TY/VC5bIgcnsVI/AAAAAAACsC0/vGTFOyDUGbY/s72-c/New%2BPicture%2B(1).png)
TASAF yaendesha warsha kwa wawezeshaji wa kitaifa.
![](http://2.bp.blogspot.com/-8w9FUC6A5TY/VC5bIgcnsVI/AAAAAAACsC0/vGTFOyDUGbY/s1600/New%2BPicture%2B(1).png)
Baadhi ya washiriki wa warsha ya kujengewa uelewa wa mpango wa kunusureu kaya maskini unaoratibiwa na TASAF wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa TASAF kwenye ukumbi wa TEC mjini DSM.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Tu5x3Ec2apg/VC5bJr09ODI/AAAAAAACsC8/35PzXsngJhQ/s1600/New%2BPicture.png)
Mkurugenzi wa Uratibu wa TASAF,Bw. Alphonce Kyariga (aliyesimama) akifungua warsha ya kuwajengea uelewa kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga maafisa ufuatiliaji TA wa mamlaka za utekelezaji PAAs kwa pya kwenye ukumbi wa TEC mjini DSM.
![](http://4.bp.blogspot.com/-J1_xjgOkzKM/VC5bvvBZ9UI/AAAAAAACsDM/XEZ4ssfVSdg/s1600/New%2BPicture%2B(2).png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TzYz4yfm6oM/VC5buL6jpYI/AAAAAAACsDE/aI3SleKt_Ec/s1600/New%2BPicture%2B(3).png)
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Maofisa takwimu wapigwa msasa
MAOFISA 50 kutoka idara za takwimu katika wizara, taasisi na vyuo vikuu vya serikali wanakutana jijini Arusha kupata mafunzo ya jinsi ya kuchambua takwimu za sensa ya watu na makazi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UR9-piQpLoM/VD-u4NSGIaI/AAAAAAAGq5I/R4hSDWvxYfY/s72-c/MMGM1316.jpg)
WANAHABARI NCHINI WAPIGWA MSASA
![](http://4.bp.blogspot.com/-UR9-piQpLoM/VD-u4NSGIaI/AAAAAAAGq5I/R4hSDWvxYfY/s1600/MMGM1316.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Ma-RC, DC wapigwa msasa sera ya madini
WIZARA ya Nishati na Madini imefaya mkutano wake wa kwanza uliowashirikisha wakuu wa mikoa, wilaya na taasisi za dini, ili kukumbushana na kujenga uwezo katika kujua sera ya madini ya...
11 years ago
Dewji Blog05 May
Wanawake Vodacom wapigwa msasa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo, lililofanyika katika Makao makuu ya Kampuni hiyo. Mkurugenzi huyo ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuendelea kuthamini mchango wa Mwanamke wa Kitanzania ndani ya jamii.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya...
10 years ago
VijimamboWAMILIKI WA BLOGS NCHINI WAPIGWA MSASA
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Wadau wa sanaa wapigwa msasa VVU
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), kupitia programu yake ya kila wiki ya Jukwaa la Sanaa, limetoa elimu kwa wasanii pamoja na wadau wa sanaa kuhusu virusi vinavyosababisha ukimwi (VVU)...
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Wafugaji nyuki Sikonge wapigwa msasa
SERIKALI Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imesema itaendelea kuboresha na kuongeza thamani ya zao la Nyuki huku ikiagiza kila kaya kuwa na mizinga miwili ili kujiongezea kipato. Hayo yalisemwa na...