Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuufanyie kazi mpango wa EPZ ili kuongeza ajira

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana. Maana yake ni kwamba hali ya uchumi nchini haikui vizuri, hivyo inashindwa kusaidia wengi kupata ajira.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Ofisi za ukaguzi kujengwa nchi nzima ili kuongeza uhuru wa kufanya kazi


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nchini Bw,Charles E Kichere,amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa ofisi ya Taifa ya ukaguzi mkoa wa Njombe inayoendelea kujengwa mkoani humo,huku akiagiza kukamilishwa kwa ofisi hizo kabla ya mwezi wa sita ili ziweze kutumika.

Akiwa katika eneo la jengo za ofisi hizo lililopo Lunyanywi halmashauri ya mji wa Njombe,Kichere amesema anahitaji majengo hayo kukamilika kabla ya mwezi wa sita ili watumishi wapate...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali kuzindua mkakati wa kitaifa wa maendeleo ya stadi kazi ili kusaidia kuongeza ujuzi!

1

Mkurugenzi  Msaidizi Toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi Dkt. Jonathan Mbwambo akifafanua kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mpango wa Serikali wa kuendeleza stadi za kazi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuongeza tija katika sekta zote nchini,kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Maelezo Bi. Zamaradi Kawawa.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza kuanzisha mkakatia wa...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Mpango awaasa Watumishi Wizara ya Fedha na Mipango kufanya kazi kwa bidii ili kukuza uchumi wa nchi.

Watumishi Wizara ya Fedha na Mipango wameaswa kufanya kazi kwa weledi na kuwekeza nguvu zaidi katika ukusanyaji mapato ili kukuza uchumi wa nchi na kuifanya nchi iwe kitovu cha uchumi Barani Afrika. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango alipokuwa akiongea na watendaji wa Wizara hiyo alipowasili Wizarani hapo mara baada ya kuapishwa jana Ikulu jijini Dar es salaam.  Katika mazungumzo yake na watendaji hao, Mhe. Dkt. Mpango, aliuagiza uongozi wa Wizara yake...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUANDAA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Baadhi ya Viongozi wa Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wanaohudhuria kikao cha kuandaa Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi wa Wizara hiyo katika Chuo cha Kanda cha Uhamiaji mjini Moshi, (toka kulia) Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, Clodwig Mtweve, Kamishna wa Urekebishaji wa Jeshi la Magereza, Deonice Chamulesile na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Juma Mohamed.    Maafisa wa Wizara ya...

 

9 years ago

Habarileo

Mabaharia wapata njia ya kuongeza ajira

JUMUIYA ya Mahabaria nchini imesema muda wowote kuanzia sasa itaanza kupeleka mabaharia 200 katika vyombo vya uchakataji, utafutaji, uchimbaji na usambazaji wa gesi baharini ikiwa ni hatua ya kupunguza tatizo la ajira nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais ajaye anavyoweza kuongeza ajira

Taarifa za Taasisi ya Taifa ya Takwimu kuwa uchumi wetu unakua kwa kasi ya juu ya wastani wa asilimia 6 - 7 kila mwaka kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita haiaminiwi na wananchi wengi kwa sababu vijana wao hawana ajira.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana: Serikali imejizatiti kuongeza ajira



NA SHAABAN MDOE, LONGIDO

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete imejipanga kuhakikisha inaongeza ajira na kudhibiti watumishi. Amesema kurejeshwa kwa mamlaka za ajira ndogo ndogo katika ngazi za halmashauri kutasaidia kuongeza ajira kwa jamii. Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu CCMAliyasema hayo juzi wakati akizungumza kwenye semina ya siku mbili kuhusu ardhi kwa viongozi wa mila wa Kimasai katika Mji wa Namanga wilayani Longido mkoani Arusha. Kinana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkakati wa Sido wa ODOP kuongeza ajira

SIKU hizi kumezuka tabia ya vijana kujikusanya vikundi na kukaa bure wakipiga porojo kutwa nzima bila kufanya shughuli yoyote ya kuzalisha mali kwa kukosa ajira. Hali hii imezidi kuwachochea vijana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani