Mabaharia wapata njia ya kuongeza ajira
JUMUIYA ya Mahabaria nchini imesema muda wowote kuanzia sasa itaanza kupeleka mabaharia 200 katika vyombo vya uchakataji, utafutaji, uchimbaji na usambazaji wa gesi baharini ikiwa ni hatua ya kupunguza tatizo la ajira nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Mabaharia walalamikia ‘kutoswa’ katika ajira
10 years ago
Mwananchi31 Mar
Njia za kuongeza kasi ya kompyuta- 1
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
Wahamiaji wapata njia mpya Croatia
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Mkakati wa Sido wa ODOP kuongeza ajira
SIKU hizi kumezuka tabia ya vijana kujikusanya vikundi na kukaa bure wakipiga porojo kutwa nzima bila kufanya shughuli yoyote ya kuzalisha mali kwa kukosa ajira. Hali hii imezidi kuwachochea vijana...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-vZ9J6lauW8k/U0_wAHYewUI/AAAAAAAABCQ/EnkuWyBGT_I/s72-c/Kinana%2B7.jpg)
Kinana: Serikali imejizatiti kuongeza ajira
NA SHAABAN MDOE, LONGIDO
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete imejipanga kuhakikisha inaongeza ajira na kudhibiti watumishi. Amesema kurejeshwa kwa mamlaka za ajira ndogo ndogo katika ngazi za halmashauri kutasaidia kuongeza ajira kwa jamii.
![](http://4.bp.blogspot.com/-vZ9J6lauW8k/U0_wAHYewUI/AAAAAAAABCQ/EnkuWyBGT_I/s1600/Kinana%2B7.jpg)
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Rais ajaye anavyoweza kuongeza ajira
11 years ago
Michuzi13 Mar
Njia 7 za kuongeza wasomaji wa Blog yako
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/GMx8uA8nf1U8hg5RbfFYEaFMKpdfqxM9PxE-9esrVwZ1ajWJHe8VBj1NiOs0H-7VMvS_wf2TKXDEnnldwzPNpbUUBWFqyQDaL4rA5BntVym5Tf868Z88FDs6AqX7ALEuJTkNVbU=s0-d-e1-ft#http://dudumizi.com/images/website-design-in-tanzania-dudumizi-technologies.jpg)
Je umewahi kujiuliza kwanini watu hawatembelei blog yako kama wanavofanya kwa blog fulanifulani? Ingawa kuna sababu nyingi kama umri wa blog, umarufu wa mmiliki wa blog nk lakini kuna kuna vitu ambavyo unaweza kuvifanya na vikakuongezea idadi ya watembeleaji.
Hivyo kwenye makala ya...
10 years ago
Habarileo13 Sep
JK:Tunaandaa mazingira bora ya biashara kuongeza ajira
RAIS Jakaya Kikwete amesema nguvu kazi nchini kufikia mwaka 2030, itaongezeka mara mbili ya sasa wakati idadi ya watu itakapofikia milioni 50.
10 years ago
Habarileo04 Sep
Kituo cha biashara kusaidia kuongeza ajira
KITUO cha Kimataifa cha Biashara (ITC) kimesema kipo tayari kutumia rasilimali zilizopo Zanzibar kuisaidia serikali kutekeleza mkakati wake wa kuongeza ajira kwa vijana na wanawake.