Mabaharia walalamikia ‘kutoswa’ katika ajira
Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, imeitaka Serikali kusimamia upatikanaji wa ajira zao zilizoporwa na kupewa wageni katika ‘rig’ meli kubwa zinazofanya kazi ya utafiti na uchimbaji mafuta na gesi nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Mabaharia walia kutoswa miradi ya gesi
UMOJA wa mabaharia nchini wamesikitishwa na kitendo cha serikali kushindwa kuwasimamia kupata ajira ya uchorongaji wa gesi katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wamesema tangu kazi hiyo ianze, hakuna baharia...
9 years ago
Habarileo25 Oct
Mabaharia wapata njia ya kuongeza ajira
JUMUIYA ya Mahabaria nchini imesema muda wowote kuanzia sasa itaanza kupeleka mabaharia 200 katika vyombo vya uchakataji, utafutaji, uchimbaji na usambazaji wa gesi baharini ikiwa ni hatua ya kupunguza tatizo la ajira nchini.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
CCM, wapinzani walalamikia kasoro nyingi zilizojitokeza katika uchaguzi
10 years ago
Vijimambo12 Jul
Sentensi 2 Chungu Za Makamba Baada Ya Kutoswa 5 Bora
![](https://pbs.twimg.com/profile_images/607198746057834496/UCMjCEkL.jpg)
Nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha.Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi na vijana niliokuwa tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana na matakwa ya Mungu yametimia.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Watuhumiwa kuvunja viti Taifa walia kutoswa Simba
WAKATI kesi ya kufanya fujo na kuvunja viti vya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi kati ya Simba na Kagera Sugar ikitarajiwa kuanza kusikilizwa Januari 27 katika...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
‘Walemavu wanabaguliwa katika ajira’
UTAFITI nchini umeonyesha nusu ya Watanzania wameshuhudia ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu katika ajira. Utafiti huo ulifanywa na Taasisi ya Twaweza ni Sisi na kuonesha kuwa wananchi hao wameripoti...
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Namna ya kusuluhisha mgogoro katika ajira
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vYkTHfBtPaI/Vd9UkjbXllI/AAAAAAAH0ec/SevxtmdMNhk/s72-c/p.png)
TAHADHALI YA UTAPELI KATIKA AJIRA YA POLISI
![](http://1.bp.blogspot.com/-vYkTHfBtPaI/Vd9UkjbXllI/AAAAAAAH0ec/SevxtmdMNhk/s1600/p.png)
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
TAS walia kubaguliwa katika ajira
WATU wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wameilalamikia serikali na mashirika binafsi kwa kukosa fursa za ajira kama ilivyo kwa watu wengine. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jijini Dar es Salaam...