Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAHADHALI YA UTAPELI KATIKA AJIRA YA POLISI

Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka mtandao wa matapeli wanaojipatia fedha kutoka kwa wananchi kwa udanganyifu kwamba watawapatia ajira ndani ya Jeshi la Polisi hasa katika kipindi hiki ambacho Jeshi la Polisi lipo katika mchakato wa ajira.

Kufuatia hali hiyo, Jeshi la Polisi nchini linatoa tahadhari kwa  wananchi wote kuwa makini na mtandao wa matapeli hao na kwamba, mfumo wa ajira ndani ya Jeshi la Polisi ni wa wazi na unafuata taratibu na kanuni za Jeshi la Polisi, hivyo, Vijana wote...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Onyo kuhusu utapeli wa ajira katika kampuni ya Tigo

TigoTanzania

Tumepata taarifa kwamba kuna baadhi ya watu wasiowaaminifu wanaojifanya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na kutumia mwanya huo kuwadanganya wananchi kujaza fomu feki kama njia ya kupata ajira katika kampuni yetu. Inadaiwa kwamba kila fomu inatozwa kiasi cha TZS 20,000 (Shilingi elfu ishirini). 

Tigo inapenda kuwataarifu wale wote wanaotafuta ajira katika kampuni yetu na umma kwa ujumla kwamba hakuna fomu za aina hii zinazotolewa kutoka mawakala, matawi au idara yoyote ya kampuni yetu....

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LATOA TAHADHALI KWA WANAWAKE KUTOSHIRIKI KIMAPENZI NA WATU WASIOWAJUA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linatoa tahadhari kwa wanawake wa jiji la Dar es Salaa hususani wasichana kuwa makini na wanaume wanaowataka kimapenzi na baadaye kuwauwa na kutelekeza miili yao.
Zimekuwepo taarifa juu ya kuwepo kwa wanaume wawili wanaoshawishi wanawake kuwa nao kimapenzi na baada ya muda huwauwa. Hivyo natoa tahadhari kwa wanawake wa jiji la Dar es Salaam kuchukua tahadhali juu ya watu hawa maana huatarisha maisha yao au ya familia zao.
Inaaminika watu hao...

 

10 years ago

GPL

HEMED ASAKWA NA POLISI KWA UTAPELI

Hamida Hassan/ijumaawikienda
Kha! RB namba KTN|RB/11213/2014 –UTAPELI inamsaka msanii wa muziki na sinema za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ tangu mwaka jana, akidaiwa ‘kuchikichia’ nguo za shilingi laki saba, mali ya aliyekuwa Mtangazaji wa EATV,  Nasra Dattani ‘Lady Naa’ ambaye alimkabidhi begi lake la nguo baada ya kumaliza kurekodi filamu iitwayo Catherine. Msanii wa muziki na...

 

5 years ago

Michuzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lawanasa watu 11 wanaendesha utapeli kwa njia ya Mtandao

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 11 kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Watuhumiwa hao walikuwa wakitumia majina ya watu katika akaunti zao kwa njia ya kujipatia fedha.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya   Ulrich Matei amesema kuwa watuhumiwa walikuwa wanajihusisha na  wizi kwa kutumia majina ya viongozi na wasanii kwa kusambaza ujumbe wa kuomba fedha kwa watu wengine wenye mahusiano ya viongozi na wasanii.

Wanaoshikiliwa na Jeshi hilo...

 

11 years ago

Michuzi

Utapeli wachukua sura mpya Iringa, mtandao wa waganga wa kienyeji matapeli wawatapeli wenzao 60 kwa kujifanya maofisa wa polisi

Na  Francis Godwin blog  Iringa .
UTAPELI   sasa  wachukua sura mpya mkoani Iringa badaa ya baadhi ya  waganga wa  tiba asilia (Sangoma) kugeuziana  kibao  wenyewe kwa wenyewe kwa  kuanza  kufanyiana  utapeli wa kutisha  ikiwa ni pamoja na kujifanya maofisa wa  polisi na  kuwatapeli fedha  wenzao  zaidi ya 60.
Imedaiwa  kuwa  waganga  hao matapeli  wana mtandao wao na wamekuwa  wakiwatumia askari  wasio na maadili ya  jeshi la  polisi kwa  kwenda  kuwatisha  waganga  wachanga kwa madai kuwa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani