Loga: Nipeni Mbeya City muone kazi
![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycM5fm07A0WikWiuOxQ6WxCq1oFpYP5r5Yo1Ef2tMiSEa6PSWP1z0kXwXwiBxgC79O1o0v563XmANLvTtUpDY*qr/loga.jpg)
Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia. Na Mwandishi Wetu KOCHA wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia, amesema amezisikia taarifa za kuyumba kwa Mbeya City na kuwaambia viongozi wa klabu hiyo, wampe nafasi ya kuinoa waone kazi. Logarusic aliyeinoa Simba kwa nusu msimu, amesema iwapo atakipata kikosi cha Mbeya City, chenye wachezaji anaowajua vizuri, basi kila kitu kitabadilika....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Mbeya City yamvuruga Loga
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Lowassa: Nipeni madaraka niwaonyeshe kazi
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Magufuli: Nipeni kazi nizibe mirija ya ufisadi
9 years ago
Habarileo15 Sep
Mbarawa: Pemba chagueni CCM sasa muone kazi nzuri
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Mkanyageni, Pemba kwa tiketi ya CCM, Profesa Makame Mbarawa amewataka wananchi wa majimbo ya uchaguzi ya Pemba wasirudie makosa ya kukichagua Chama cha Wananchi (CUF) akisema viongozi wake hawapo kwa ajili ya maslahi ya wananchi na wapiga kura.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-By94Gdp60V8/Va46iLsGBgI/AAAAAAAHq1w/jmzck44MbOM/s72-c/blogger-image-860968555.jpg)
MBEYA CITY COUNCIL F.C INAKARIBISHA KAMPUNI ZENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI NA CLUB YETU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-By94Gdp60V8/Va46iLsGBgI/AAAAAAAHq1w/jmzck44MbOM/s640/blogger-image-860968555.jpg)
I. Kuwa mwagizaji wa vifaa mbalimbali vya club
II. Kuuza vifaa mbalimbali vya club
Zabuni hii inafuati utekelezaji wa club kutaka kukuza mapato yake ili
iweze kujijenga msingi imala ya mapato na hivyo kuiwezesha kuendesha
shughuli zake mbalimbali.
Mwombaji anatakiwa atimize masharti yafuatayo.
1. Awe na Leseni hai ya biashara husika
2. Awe amesajiliwa kama mlipa kodi
3. Maelezo ya kampuni yaani Company profile ikieleza aina ya kampuni au
biashara unayoifanya...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Loga: Ni Azam, Yanga, City
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04avzhEoUjpCw-HS579DXn1G8f34OWQZ74OVPNhY*EifLAfoL5DqwYEnVSA3Kto*WjiCcOvCEJG6*nyttvLmrZNgY/AZAMFC2.jpg?width=650)
AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA
11 years ago
Michuzi11 Feb
MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya