Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbarawa: Pemba chagueni CCM sasa muone kazi nzuri

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Mkanyageni, Pemba kwa tiketi ya CCM, Profesa Makame Mbarawa amewataka wananchi wa majimbo ya uchaguzi ya Pemba wasirudie makosa ya kukichagua Chama cha Wananchi (CUF) akisema viongozi wake hawapo kwa ajili ya maslahi ya wananchi na wapiga kura.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

PROFESA MBARAWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MKOANI PEMBA KWA TIKETI YA CCM AKIZINDUA KAMPENI

Profesa Mbarawa mgombea ubunge jimbo la mkoani Pemba kwa tiketi ya CCM akizungumza na wananchi wa Mkoani Pemba wakati wa kuzindua kampeni za chama cha CCM mkoani humo jana.

 

10 years ago

GPL

Loga: Nipeni Mbeya City muone kazi

Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia, amesema amezisikia taarifa za kuyumba kwa Mbeya City na kuwaambia viongozi wa klabu hiyo, wampe nafasi ya kuinoa waone kazi.
Logarusic aliyeinoa Simba kwa nusu msimu, amesema iwapo atakipata kikosi cha Mbeya City, chenye wachezaji anaowajua vizuri, basi kila kitu kitabadilika....

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Chagueni viongozi wenye kazi’

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewataka wananchi kuchagua viongozi wenye kazi zao binafsi, badala ya kuchagua  viongozi wasiojishughulisha. Kinana alitoa rai hiyo juzi wakati akiwahutubia wananchi...

 

9 years ago

Vijimambo

Profesa Mbarawa Azindua Kampeni ya Kuwania Ubunge Jimbo la Mkoani Pemba.

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Profesa Mbarawa azindua kampeni za kugombea Ubunge Jimbo la Mkoani Pemba akiwahutubia wananchi.katika viwanja vya mpira Chokocho mkanyageni Pemba Profesa Mbarawa akiwahutubia Wananchi wa Mkoani wakati wa mkutano wake wa uzinduzi wa Kampeni ya Ubunge kugombea Jimbo la Mkoani uliofanyika katika viwanja vya chokocho mkoani Pemba Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkoani Pemba Profesa Mbarawa akiwahutubia na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA AANZA KAZI RASMI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa pili kushoto), akipata ufafanuzi kuhusu namna ya kuhifadhi makontena kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania Aloyce Matei (kushoto), mara baada ya kukagua Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania Aloyce Matei (wa tatu kushoto), huku Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Eng. Edwin...

 

10 years ago

Habarileo

Jeshi la Polisi, JWTZ wapongezwa kazi nzuri

BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga wamepongeza hatua ya awali iliyofikiwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na JWTZ kwenye operesheni maalumu ya kusaka wahalifu pamoja na silaha waliokuwa wamejifisha katika mapango ya Majimoto yaliyopo eneo la Mzizima Amboni, nje kidogo ya mji.

 

10 years ago

Habarileo

Shein asifu kazi nzuri ofisi ya CAG

RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema kufanikiwa kwa udhibiti na ukaguzi mzuri wa fedha za serikali ndio silaha kubwa ya maendeleo ya nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani