Jeshi la Polisi, JWTZ wapongezwa kazi nzuri
BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga wamepongeza hatua ya awali iliyofikiwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na JWTZ kwenye operesheni maalumu ya kusaka wahalifu pamoja na silaha waliokuwa wamejifisha katika mapango ya Majimoto yaliyopo eneo la Mzizima Amboni, nje kidogo ya mji.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...
11 years ago
Dewji Blog28 Oct
Jeshi la Polisi Njombe lawafukuza kazi askari wake watatu
Na Edwin Moshi
Jeshi la polisi mkoani Njombe limeamua kuchukua uamuzi mgumu wa kuwafukuza kazi askari polisi wake watatu kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya ikiwemo vitendo vibaya kinyume na sheria za jeshi hilo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa mtandao huu na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani (pichani) askari hao waliofukuzwa kazi ni EX.G. 3172 PC Ramadhani Iddi Saidi, EX.G. 9693 PC Emmanuel Morson Lyimo pamoja na EX.G. PC Miraji Jumanne Mtea.
Kamanda Ngonyani...
10 years ago
Michuzi
Raisi Kikwete atunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli, JWTZ wamzawadia



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Afisa mwanafunzi bora Luteni Usu Antony Shija wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya leo katika chu cha jeshi TMA Monduli leo.

11 years ago
Michuzi25 Aug
KAMPUNI YA MSAMA PROMOTION NA JESHI LA POLISI WAKATAMA KAZI FEKI ZA WASANII

11 years ago
Michuzi14 May
11 years ago
Michuzi
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam latimua kazi askari wanne kwa kujihusisha na uhalifu

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewafukuza kazi askari wake wanne waliodhibitika kujihusisha na matukio ya uhalifu, kwa mujibu wa Kamanda wa kanda hiyo Kamishna Suleiman Kova (pichani).
Kamanda Kova amesema leo jijini kuwa hatua hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa awali kubaini kuwa askari hao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu. Ameseme vitendo hivyo ni pamoja na tukio la Machi 9, 2014 ambalo lilitokea eneo la Mbezi beachi ...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Polisi Bunda wapongezwa
WADAU mbalimbali wamelipongeza Jeshi la Polisi wilayani Bunda mkoani Mara kwa kudhibiti majambazi yaliyokuwa yameteka gari la halmashauri ya wilaya hiyo. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati na maeneo tofauti na...
11 years ago
MichuziMSAMA AUCTION MART KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI WAKAMATA VIFAA MBALIMBALI VYA KUDURUFU KAZI ZA WASANII


11 years ago
Dewji Blog04 Nov
Msama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wakamata vifaa mbalimbali vya Kkdurufu kazi za wasanii
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), moja kati ya mashine 4 za kurudufu CD feki zilizokamatwa katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Ofisa wa Polisi, D/SSGT Daniel Gingo.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), wino unaotumika kunakshia makasha ya CD feki wanazozitengeneza.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10